Tetesi: Sakata la vyeti feki latua Polisi

Kweli kabsa, bora Mara mia police
Hao jwtz hmhhhh wengineo walishawahi kwenda Congo kulinda aman unafikiri itakuwaje sasa c kila kona mtaanzisha kanda maalaum
Mitaani itakuwa balaaa mkuu

Ova
 
ni kweli orodha imetoka 100%
 
Sidhani hadi niione live orodha hiyo au Waziri wa Mambo ya Ndani akilitangaza lasmi make Watahakikiwa wengi na Idara nyingi kweli lakini sio Vyombo vya Ulinzi na Usalama mf JWTZ,POLICE,UHAMIAJI,MAGEREZA sio lahisi hivyo nadhani!
 
usifurahie mwenzako kupata matatizo. huku ni kuongeza idadi ya wahalifu mtaani ukizingatia wana mbinu za kijeshi
Acheni uboya watz kwa hyo wle waliotumbuliwa fresh tu hao wengine ndio tuogope italeta uhalifu mtaani? tuchague moja tu tufanye uhakiki kwa wote ama tuwaache wote waendelee na kazi tusifatanefatane!
 
Ww umeongea ss co mafala wengne wao kutwa kuwatia vichwa oh...wasifukuzwe mtaani hapatakalika wao akina nani? bc watumishi wote waachwe waendelee na kazi zao!
 
Sidhani hadi niione live orodha hiyo au Waziri wa Mambo ya Ndani akilitangaza lasmi make Watahakikiwa wengi na Idara nyingi kweli lakini sio Vyombo vya Ulinzi na Usalama mf JWTZ,POLICE,UHAMIAJI,MAGEREZA sio lahisi hivyo nadhani!
Sasa Kumekuchaaa Sasa Kumekucha Jogoo Limekwisha Wika Vyeti Feki Aaaah Rmx
 
Ikiwa ni kweli nina uhakika bus za mikoani mwisho kusafiri itakua 12:30 jioni baada ya hapo tutatekwa kama kuku maana wajomba kutumia mikwasa ndio kipaji chao.
 
Watakuwa wanawaonea basi hata wenye VYETI vya la saba nao wafukuzwe mbona wapo huko serikalini na wanalipwa mshahara mkubwa kuliko hata waliosoma mpaka six?wapo wa lasaba wengi serikalini hasa mashirika ya umma hawana hata na fani watimuliwe tu
Upo nje ya mada.
 
Sidhani hadi niione live orodha hiyo au Waziri wa Mambo ya Ndani akilitangaza lasmi make Watahakikiwa wengi na Idara nyingi kweli lakini sio Vyombo vya Ulinzi na Usalama mf JWTZ,POLICE,UHAMIAJI,MAGEREZA sio lahisi hivyo nadhani!
Utajiju na cheti feki chako huko polisi, ulijiona Mungu mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…