Tetesi: Sakata la vyeti feki latua Polisi

Tetesi: Sakata la vyeti feki latua Polisi

Kuna watu mawazo yao mgando, wanaamini kuwafukuza askari wenye vyeti feki ni hatari kwa taifa hili, huku wakisahau kuwa;
1.Hawatimuliwi na bunduki wakiwa nazo mfukoni.
2. Tanzania maduka ya silaha hayazidi 3, na kumiliki silaha ni mlolongo mrefu mpaka ukome na maskini haruhusiwi.
3. Wanaofukuzwa si wengi ukilinganisha na wanaobaki ambao wanalipwa mshahara,posho, na wanaidhini ya kutumia silaha.
4.Wanaofukuzwa hawataishi ndani ya familia moja, watatawanyika na kila mmoja kuelekea kwake.
5.Nguvu ya askari iko katika kitambulisho/idhini na silaha.

I know what am talking about.
Kumbuka kuwa hawa ninTrained mkuu kwa hiyo wanauwezo wa kuteka kituo na kupora siraha hizo walizoziacha na ukumbuke pia huko kutawanyika kwao ndio kutaleta shida, pia hawa ndio wanaongoza kuwafahamu majambazi ni kama vile wataenda kuungana nao
 
wengi tunapenda wahakikiwe pia, ila ukweli ni kwamba haiwezekani maana litazaliwa kundi la waharifu la maana sana.
 
Hakika Magu ni shida,

List za polisi wenye vyeti feki zimeanza kutumwa vituoni, mkoani Kilimanjaro list zimeshawasili na vituo vimeshaanza kupokea orodha hizo angalieni kwa wakuu wa vituo vya polisi maeneo mlipo sasa hapa sijui watafanyaje maana, walipokuwa wana hakiki wengine walisema viko mbali vijijini sasa leo list imekuja wameandikiwa hawana na kuombwa waviwasilishe kama imekosewa kuandika kuwa hawana, huu ndio ule mziki tuliokuwa tunausubiria, walioomba kuhakiki hawakujua kuwa kuambiwa viko vijijini maana yake havipo sasa imekuwa kazi kweli, hadi sasa kuna mmoja namfahamu hayupo ana wiki amepotea sasa huenda alipata fununu kuwa kihama kinakuja sijui atafanyaje, kama kuna wanao ongoza kwa mikopo ni hawa ndugu zetu, haya mikopo italipwaje sasa, nyumba zitauzwa au dah Mungu wasaidie.
Acheni uzushi nbona listi huweki uchochezi huo
 
Ili zoezi liwe fair, lihusishe watumishi wote.
 
usifurahie mwenzako kupata matatizo. huku ni kuongeza idadi ya wahalifu mtaani ukizingatia wana mbinu za kijeshi
Mkuu hakuna cha uhalifu!
Sheria ifuate mkondo wake, majeshi nayo ni sehemu ya utumishi wa umma hivyo yaliyowakuta watumishi wengine tafadhali yawakute na watumishi wa majeshi yetu
 
usifurahie mwenzako kupata matatizo. huku ni kuongeza idadi ya wahalifu mtaani ukizingatia wana mbinu za kijeshi
Watanzania tunapenda sana kufurahia matatizo ya wenzetu.....

Sijui ni roho mbaya au roho ya kwa nini au ni umasikini????
 
Hii inshu ikiingia Jeshini!!!
Italeta shida saana. Wengi tutakuwa nao Kitaa maaana.....
Nani alileta hilo wazo la Vyeti feki????
 
Watakuwa wanawaonea basi hata wenye VYETI vya la saba nao wafukuzwe mbona wapo huko serikalini na wanalipwa mshahara mkubwa kuliko hata waliosoma mpaka six?wapo wa lasaba wengi serikalini hasa mashirika ya umma hawana hata na fani watimuliwe tu
Hili ni fagio la chuma halitamwacha sisimizi.
 
Hujielewi ww
Hata ww n raia wa tz, baada ya kuwaza vita ww unawaza rivality na policie@Mbuzikubwa
Mkuu inauma lakini Kama hawana vyeti watoke tu hakuna namna. Wenye vyeti wapo mtaani wataajiriwa.
 
Sidhani hadi niione live orodha hiyo au Waziri wa Mambo ya Ndani akilitangaza lasmi make Watahakikiwa wengi na Idara nyingi kweli lakini sio Vyombo vya Ulinzi na Usalama mf JWTZ,POLICE,UHAMIAJI,MAGEREZA sio lahisi hivyo nadhani!
Mkuu unaona Kama ni ndoto lakini ni kweli Polisi wameanza kutoa vyeti kwa uhakika.
 
Nilikuwa siamin sasa nimeamin leo police wamepeleka vyeti vyao kukaguliwa ni wale ambao orodha yao imetoka tayar
 
Duh kuna afande mmoja namjua yupo pale moshi ngoja nimsubiri mtaani yaani ni kiherehere balaa anakamata watu ovyo kwa kosa la kubambikwa !! Magu oyeeee
Kama kweli ntaamini uncle yupo serious, na taifa litakaa vizuri maana myoyo ya watu yaingia kinyongo na kusema afadhali ningeenda kuajiriwa na ufeki wangu ule upande usioguswa.
 
Back
Top Bottom