Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,139
- 2,488
Wanao??wabunge Hawa 19 Waume zao wanawashauri nini Muda wote tangu sakata hili lianze?
Hawajaolewa wote?Wanao??
Kati yao kuna mme na mke mme na mke.wabunge Hawa 19 Waume zao wanawashauri nini Muda wote tangu sakata hili lianze?
Inatia kichefuchefu.haiwezekani kuna watu wanaozea jera kwa kesi ya uhujumu uchumi halafu kuna watu wana hujumu nchi bila woga kuna anguko kubwa lina kuja Mungu yupo
Si wanapigania haki yao lakinWanapoteza muda tena.. Nchi hii ina raha sana..
Hakuna adui wala rafiki wa kudumu ktk siasa bali kuna maslahi ya kudumu.Siasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kati yao kuna mme na mke mme na mke.
Matumizi tu mabaya ya fedhaWanapoteza muda tena.. Nchi hii ina raha sana..
Ruling rolling haya mambo yanawachelewesha tuNgoma bado mbichi .
Kupeleka ruling kwa spika ulikua usanii tu.
Haki yao ipi?Si wanapigania haki yao lakin