Sakata la wabunge 19: Kesi yarudishwa tena mahakama kuu baada ya kurekebishwa

Sakata la wabunge 19: Kesi yarudishwa tena mahakama kuu baada ya kurekebishwa

Kutoka kuchaguliwa na wananchi,mpaka ubunge feki wa kuteuliwa.
Wajitafakali hadhi yao imeshuka,hata kesho wakigombea hakuna wa kuwaamini tena.

Anguko baya kisiasa.
 
Wapinzani wanaonewa sana kwenye hii nchi

Mimi ninavyojua ukivuliwa uanachama unakosa sifa ya kua mbunge sasa mbona wao wapo ?
 
Wapinzani wanaonewa sana kwenye hii nchi

Mimi ninavyojua ukivuliwa uanachama unakosa sifa ya kua mbunge sasa mbona wao wapo ?

Hiyo ndio tatizo, tunawachukulia wapinzani Kama sio raia wa Tanzania. Tupo tayari kuikanyaga katiba ili kukomoa wapinzani. Sijui hii hali itaisha lini. Chama kimefukuza watu, bado bunge limewakumbatia kisa wanatokea CHADEMA.
 
Ngoma bado mbichi .

Kupeleka ruling kwa spika ulikua usanii tu.

Ulitaka wapeleke Nini?. Usishangilie uonevu kisa anafanyiwa CHADEMA. Kisheria wale walitakiwa wafungue kesi wakiwa sio wanachama wa CHADEMA.
 
Pascal Mayalla alisema nyinyi mkaja Kama mazuzu kufurahia hukumu feki sas tulieni

Hakuna Cha Pascal Mayalla Wala Nini, Haya yote yanafanyika kuwakomoa CHADEMA. Na hili Mbowe alifahamu hakuna siku seriakli itaionea huruma CHADEMA. Kama walipora majimbo yote hadharani sembuse kesi ambayo Wana maslahi nayo.
 
Si wanapigania haki yao lakin

Haki gani?. Ya kulipwa mshahara. CHADEMA wanachotaka wale Covid 19 wasitumie jina la chama , Kama ubunge waendelee nao ila watafute jina la chama kingine. Leo wakisema Ni CCM au ACT hakuna atakaye shughulika nao, tatizo ni kwamba bado wanatumia jina la CHADEMA wakati CHADEMA haikuwateua.
 
haiwezekani kuna watu wanaozea jera kwa kesi ya uhujumu uchumi halafu kuna watu wana hujumu nchi bila woga kuna anguko kubwa lina kuja Mungu yupo

Shida viongozi wetu hawajifunzi. Wanadhani kupambana na CHADEMA kunawaongezea crdit CCM . Kumbe upumbafu, unakuwa spika lakini upo kuilinnda CCM baadala ya kuangalia nafasi yako katika nchi. Bora spika angekuwa Chenge au Zungu sio huyu kilaza mwenye PhD ya chupi.
 
Hilo neno PhD ya chupi nimelipenda sana
 
Kuna wakati mahakama inakuwa kama uwanja wa michezo.

Ndio tulipofikia. Bunge limekuwa vituko show mahakama imekuwa kilabu Cha pombe. Wote wapo kumfurahisha Rais na CCM. Tanzania hatuna bunge wala mahakama.
 
Kutoka kuchaguliwa na wananchi,mpaka ubunge feki wa kuteuliwa.
Wajitafakali hadhi yao imeshuka,hata kesho wakigombea hakuna wa kuwaamini tena.

Anguko baya kisiasa.

Kweli kabisa wanalazimisha ubunge. Walishindwa majimboni Tena kwa hila, Cha kushangaza wamerudi kwa watesi wao wawape ubunge wa fedheha.
 
haiwezekani kuna watu wanaozea jera kwa kesi ya uhujumu uchumi halafu kuna watu wana hujumu nchi bila woga kuna anguko kubwa lina kuja Mungu yupo
Hivi angekuwa mkeo au mama yako ungesema hayo ukiijua sheria wala hutumii nguvu
 
Back
Top Bottom