TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Ndugu zangu watz someni uzi wa tukio tusikimbilie kukomenti ili tuwe wa kwanza.
Huyo ni binti wa Nigeria alikuja kula sikukuu yake ya kuzaliwa akiwa mwenyewe ndiposa kuna jibaba lilijitosa usiku kumbaka.
Ila mpaka muda huu, waniger wameshachafua sana huko tweeter na hiyo hoteli inapigwa misumari ya kufa mtu, muda huu nilipokuwa naandika kwenye vile viwango vya hotel bora google best hotel review kutoka 5.0 mpaka 1.8 ...
Na waniger wameambizana kuireport kule booking.com ambao ni mtandao unaotoa taarifa mbalimbali za hotel duniani ikiwa ni huduma, usalama, chakula nk, ambapo mwishoni upigiwa kura na hotel kupewa cheti.
Yaani pasipo serikali kuingilia kati basi kuna hatari utalii znz kupungua sana.
Kutokana na kisa hiki nashauri mambo kadhaa kwa hasa hasa kwa serikali ya zanzibar, na huu ni ukweli japo haupendwi hapa visiwani, asilimia kubwa ya vijana wazawa wa visiwani si waaminifu, wajuzi na wabunifu kwenye tasnia ya utalii mpaka mahotelini.
Yaani ni vile serikali ya Zanzibar inawabeba, mfano, unakuta kijana yupo na mtalii (anamuongoza) huko mbele anaanza kuongea deal na rafiki zake kwa hao watalii vile hawasikii kiswahili au hotelini, hii si sawa, nimeshuhudia haya.
Tofauti na guide wa bara kama Arusha, Iringa, Kilimanjaro wale ni kazi kazi mambo mengine ni baada ya kazi, yaani zanzibar undugu ndiyo tatizo na isingekuwa serikali kuwalinda basi upande huo utalii ungekimbia sana.
Wasafari na watalii wengi wanadhurika sana mjini Zanzibar sema baadhi yao wanapotezea tu, sasa akipatikana kama huyu ndiposa utajua ukweli.
UPDATE HII HAPA 👇🏾...
www.jamiiforums.com

Warere Beach Resort: Zainab Oladehinde alikubaliana na mlinzi kufanya mapenzi. Alitaka tumlipe fidia USD 10,000
Kwa ufupi ni kuwa yule dada wa kinigeria alimpenda mlinzi wa kimakua na akaona haiwezekani kulala mwenyewe ila baadae akamgeuka, na walifikishana mpaka kwa mkuu wa wilaya ili kusuluhisha. Lakini yuke binti wa kiniger akagoma mpaka alipwe kitita cha US dollar 10,000 takribani 23.5mil ili...