Sakata la Warere Beach hotel kwa mtalii mgeni, Serikali ichunguze, wahusika wachukuliwe hatua, wametia doa sekta ya utalii nchini

Sakata la Warere Beach hotel kwa mtalii mgeni, Serikali ichunguze, wahusika wachukuliwe hatua, wametia doa sekta ya utalii nchini

Mie si mtu wa kuabudu sana wageni so hzo clip mpaka nizione ndo naweza sema kama si mtengeneza jambo. Kinyume cha hapo tuache chuki kwa jeshi letu la polisi.
Polosi ccm ndo inakulinda nawe

haya mambo yapo ulimwenguni sio lazima weww uzione wapo wanaochangia hoja hii kutoka kona zote za ulimwengu wewe ni nani mpaka uone
 
Huu ni upuuzi wizara ya utalii na utaamaduni fanyeni haraka sana kuwasiliana. Na Twitter wafute huo Uzi haiwezekani mama yetu yupo ulaya uko kaenda zindua Royal tour afaru anatokea mtu mmoja anachafua image ya taifa kwanini asiandike mwaka Jana andika mda huu ambao mama kaenda upiga mwingi uko ulaya

Hawa wanagireia washenzi sana ngoja nikareport Twitter huo Uzi ufutwe una lengo la kutiharibia ziara ya mama yetu uko maju
Acha ujinga wewe.....unamuwazia mama yako wakati wageni wakija mnawapora na kuwabaka? Tatizo mnakariri kuwa wageni ni wazungu tuu....INA maana wewe huoni ushahidi huo au unajitoa ufahamu tu.

Watanzania ndio watu wa kwanza kujichafua then wanasingizia wageni waliochafuliwa.
 
Mimi nimewaza tofauti, sijaiangalia incidence ya kubakwa kuibiwa na kadharika.
Uzembe wa mwenye hotel na polisi kulishughulikia ili swala kikamilifu na kisahihi ndio imeleta yote haya.
Kwenye hotel ni kweli muda wa saa nane usiku hata huku bara hoteli nyingi watu wa reception wanalala hususani hizi za range ya chumba elf 50 mpaka laki 1,simu hazifanyi kazi ni kweli ila hii ukitoa hotel za Dar es salaam ila mikoani na hata Zenji hotel za mid price kuna tatizo hilo,polisi ndio wameharibu kabisa mtalii unamfukuza vipi kituon najua tatizo karekodi sawa utasema security protocol hairuhusu lakini mtu kaja anatatizo tena ugenini unampotezea that's too bad tuchukue sheria kwenye haya na elimu pia zitolewe kwa wahusika kuepuka haya zaidi. Imagine hata wewe uko ugenini umekoswa kubakwa na umeibiwa plus polisi wakupotezee utakua kwenye hali gani?
Kukuza utalii kwanza tujue wanataka nini na wanategemea nini kutoka kwetu, hata zile habari za kila mzungu ukikutana nae unaanza JAMBO tutambue kuna nchi kusalimiana ni kelele na kupoteza muda wanaboreka wanapopewa full attention everywhere.
 
Acha ujinga wewe.....unamuwazia mama yako wakati wageni wakija mnawapora na kuwabaka? Tatizo mnakariri kuwa wageni ni wazungu tuu....INA maana wewe huoni ushahidi huo au unajitoa ufahamu tu.

Watanzania ndio watu wa kwanza kujichafua then wanasingizia wageni waliochafuliwa.
Alikuwa wapi siku zote hizo aache tuchafua huu ndio unaitwa ujasusi wa kiuchumi Yericko Nyerere ebuu njoo uku umueleweshe uyu jamaa
 
Alikuwa wapi siku zote hizo aache tuchafua huu ndio unaitwa ujasusi wa kiuchumi Yericko Nyerere ebuu njoo uku umueleweshe uyu jamaa
Mkuu aina ya watu kama wewe ndio huwafanya kundi LA wasomi kudharaulika....hivi hujawai kusikia matukio yaliyofanyika hata miaka kadhaa nyuma yanamuwajibisha MTU?

Usiweke uzalendo uchwara mbele wakati sisi wenyewe tunajitia najisi kwa matendo yetu.

Kwa MTU mwenye akili hawezi kujitoa ufahamu eti kisa ni mzalendo. Huwezi kujiita msafi huku umeficha lundo LA taka uvunguni.....so pathetic
 
IMG_6457.jpg

IMG_6458.jpg

IMG_6459.jpg

IMG_6460.jpg
Hii ishu ichunguzwe tujue upande wa pili hawa watu wasije tuharibia, naona wengi wanachangia sijui waliporwa hela sijui vip na wakenya,wasouth wamekomalia nao hatari,,kwa matukio wanayofanya duniani hadi dunia inawaogopa hmm sijawahi waamini WaNigeria kwakweli[emoji1373]
 
Ameeleza namna ambavyo alikuwa amelala Warere beach hotel na usiku wa manane akashangaa kuna mwanaume kitandani anampapasa papasa na kutaka kumbaka.
Kwa namna alivyoandika habari hii naona kuna shida kubwa sana katika hiyo hotel..kuna shida namna polisi aliporipoti walivyolichukulia na kushughulikia jambo lake.

Lakini pia to me namuona kama binti ambaye ni very strong,kama asingekuwa na hizo evidence huenda angeambiwa kapika hili jambo.Pamoja na kwamba kalitoa wakati huu ambao tuna issue ya uzinduzi wa royal tour ni vyema serikali yetu ilifuatilia kwa karibu na kutoa majibu ya sakata hili.
  1. Wanaume waliingiaje chumbani kwake?
  2. Alilala bila kulock mlango wake maana milango mingi hotel za kitalii ni electronic
  3. Je hotel hiyo haina camera za usalama?
  4. Je hotel haina ulinzi?
 
Mbona dada katoa evidence kabisa za tukio?
Huu ni upuuzi wizara ya utalii na utaamaduni fanyeni haraka sana kuwasiliana. Na Twitter wafute huo Uzi haiwezekani mama yetu yupo ulaya uko kaenda zindua Royal tour afaru anatokea mtu mmoja anachafua image ya taifa kwanini asiandike mwaka Jana andika mda huu ambao mama kaenda upiga mwingi uko ulaya

Hawa wanagireia washenzi sana ngoja nikareport Twitter huo Uzi ufutwe una lengo la kutiharibia ziara ya mama yetu uko majuu
 
Mkuu aina ya watu kama wewe ndio huwafanya kundi LA wasomi kudharaulika....hivi hujawai kusikia matukio yaliyofanyika hata miaka kadhaa nyuma yanamuwajibisha MTU?

Usiweke uzalendo uchwara mbele wakati sisi wenyewe tunajitia najisi kwa matendo yetu.

Kwa MTU mwenye akili hawezi kujitoa ufahamu eti kisa ni mzalendo. Huwezi kujiita msafi huku umeficha lundo LA taka uvunguni.....so pathetic
Hivi mtanzania gani wewe unaona nchi yako unachafuliwa unashadadia hata kama kweli imetokea kulikuwa na maanaga gani yeye kwenda kwenye social media kupost sawa alienda kituo cha polisi lipiga sm ubalozini kwake he umeona kunasehemu alienda wizara ya mambo ya ndani zaidi ya kulaumu polisi ambao hata siye wazawa tunajua kweli jeshi la polisi la hovyo kwanini amue kupublish hivyo

Uyo mnaija katukosea sana tena sana ngoja niende kwanga uk
 
Mbona dada katoa evidence kabisa za tukio?
Hatujakataa yeye ni mgeni kwanini aende kwenye social media kuchafua image yetu sisi tunaongea mambo yetu wenyewe tunamalizana wenyewe kwanini mgeni atuingilie na hapo umesikia story ya upande mmoja je kama walikuwa pamoja na uyo jamaa ila wakapishana kauli dada akabadili gia angani
 
Kama mteuliwa wa Rais aliweza kushupaza shingo aletewe Nandy kutoka hoteli aliyofikia, hili sitashangaa.
Haswaa hapa umemaliza kila kitu.
Tuseme tu ukweli, haya mambo kwa Tanzania yapo sana, na wahusika wa kuchukua hatua huwa wanayapotezea.
Kama mkuu wa wilaya ya Hai wa kipindi hicho (Ole Sabaya) aliweza kuingia kwenye hoteli ya kitalii akilazimisha kwa nguvu alale kimapenzi(kubaka) na msanii mkubwa wa kike wa Tanzania (Nandy), na hakuna hatua zozote zilizowahi kuchukuliwa, nani mwingine atapona?

Jeshi la Polisi la Tanzania ni genge kuu la waharifu.
Viongozi wa Tanzania wengi wamewekwa na mtandao wa kiharifu kwa mgongo wa kisiasa.
Sekta ya Utalii hapa Tanzania imejaa uhuni, wizi na utapeli mkubwa sana.
 
Kule Moshi Polisi wanafundishwa kudhibiti upinzani tu.
 
Hivi mtanzania gani wewe unaona nchi yako unachafuliwa unashadadia hata kama kweli imetokea kulikuwa na maanaga gani yeye kwenda kwenye social media kupost sawa alienda kituo cha polisi lipiga sm ubalozini kwake he umeona kunasehemu alienda wizara ya mambo ya ndani zaidi ya kulaumu polisi ambao hata siye wazawa tunajua kweli jeshi la polisi la hovyo kwanini amue kupublish hivyo

Uyo mnaija katukosea sana tena sana ngoja niende kwanga uk
Wewe ulitakaje?
Ulitaka akasemee wapi ikiwa karibu kote huko alipolifikisha wahusika walilipotezea?

Huyo mnaigeria yuko sahihi kabisa, tumuunge mkono. Uchafu haipaswi kufichwa. Tanzania kumejaa huu upuuzi na huwa unalindwa na wahusika.
 
Back
Top Bottom