Sakata la Warere Beach hotel kwa mtalii mgeni, Serikali ichunguze, wahusika wachukuliwe hatua, wametia doa sekta ya utalii nchini

Akwende zake huko mbona ulaya kila siku watu wanafanyiwa vitendo vya kikatili +mauaji na bado tunapambana kwenda huko
yee kubakwa kidogo tu ndo watalii wasije never[emoji35]
Ndo maana baba yako alipombaka mama yako ukatoka tahira kama wewe
 
Kitu pekee hapa ninachotafakari ni umesha baka wanawake wangapi
 
Vita ya biashara

Wakenya ni wazuri sana wa fitna

She has to prove everything au ipigwe kesi against her

Tukiacha hizi drama mambo yatazidi
 
Sishabikii nchi kuchafuliwa ila nachukia uozo wa system nzima iliyoshugulikia suala hili. Pls look at the chain of events....the hotel receptionist, the manager,security men,the police themselves.
Unadhani ni watalii wangapi wanafanyiwa hayo na kupelekea taifa kupoteza mapato.....

Unadhani ni watalii wangapi wanafanyiwa hivo na tukio haliripotiwi kokote.

In short tunajichafua wenyewe na hatuna wa kumlaumu.
Ili tuwe salama ni tuwe wastaarabu wahusika wawajibishwe then wizara iombe radhi....vinginevyo tukileta uswahili...hilo tukio ni baya.
 
Kitu kingine tumesikia story upande mmoja kwa mnajeria tu upande wa hotel hatunasikia so tusitoe conclusion
 
So unataka tussurport ujinga mnaofanya huko mafichoni.....laani matendo aliyofanyiwa kwanza,then hayo unayomtuhumu nayo uyatolee ushahidi sio blah blah huku mnalifedhehesha taifa. Nughu!!!
Hakuna anayesupport hayo matendo ya harassment,wizi na ubakaji. Binafsi na jamii zote zinayapiga vita. But the point is attempted rapes, wizi wa majumban, hotelin, etc ni matukio ambayo yanayokea kila nchi duniani. Kwanini leo Tanzania inatrend mitandaoni kuhusu ilo tukio la mwaka jana la Zanzibar?....kwa mwaka mzima wa 2022 matukio kama hayo yametokea mara ngapi Kenya, South Africa, Nigeria... Why sisi tutrend kwa ubaya leo???? Ingekuwa ni tukio recent nisingetia neno ila kwa kuwa ni la mwaka jana kwa nini limeibuliwa leo? Is this is not a coincidence
 
Asilimia kubwa ya polisi wetu ni wajinga sana, mazingira kama hayo wanaweza kuwa walihitaji rushwa ili waweze kufuatilia.
Wanatia sana aibu.
 

Dah kwenye hii ishu nimeona wabongo twitter wamepost na ile ishu ya uchaguzi wa2020 Zanzibar hatar sana!!!
 
It might be the so called coincidence but the fact remains constant.
 
Ikiwa mlishindwa kutoa ushirikiano wakati ule sasa mtautoa? Tukubaliane kuna tatizo kwenye upande wetu wa customer care. Endeleeni kututia aibu.
Stupid

Tulishindwa wapi?

Niko zanzibar mimi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…