valet de chambre
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,044
- 1,112
Polisi wenyewe hawajui PGO sembuse kiingereza.Mzee Dada ana clip na picha kibao
Polisccm wanamfukuza
Hawa polisi wetu wapumbavu sana aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polisi wenyewe hawajui PGO sembuse kiingereza.Mzee Dada ana clip na picha kibao
Polisccm wanamfukuza
Hawa polisi wetu wapumbavu sana aisee
Unaingia google unandika warere hotel then itakuja hapo utakilick sehemu ya kurate hapoUnafanyaje elekeza twende
Ndugu zangu watz someni uzi wa tukio tusikimbilie kukomenti ili tuwe wa kwanza.
Huyo ni binti wa Nigeria alikuja kula sikukuu yake ya kuzaliwa akiwa mwenyewe ndiposa kuna jibaba lilijitosa usiku kumbaka.
Ila mpaka muda huu, waniger wameshachafua sana huko tweeter na hiyo hoteli inapigwa misumari ya kufa mtu, muda huu nilipokuwa naandika kwenye vile viwango vya hotel bora google best hotel review kutoka 5.0 mpaka 1.8 ...
View attachment 2190293
Na waniger wameambizana kuireport kule booking.com ambao ni mtandao unaotoa taarifa mbalimbali za hotel duniani ikiwa ni huduma, usalama, chakula nk, ambapo mwishoni upigiwa kura na hotel kupewa cheti.
Yaani pasipo serikali kuingilia kati basi kuna hatari utalii znz kupungua sana.
Kutokana na kisa hiki nashauri mambo kadhaa kwa hasa hasa kwa serikali ya zanzibar, na huu ni ukweli japo haupendwi hapa visiwani, asilimia kubwa ya vijana wazawa wa visiwani si waaminifu, wajuzi na wabunifu kwenye tasnia ya utalii mpaka mahotelini.
Yaani ni vile serikali ya Zanzibar inawabeba, mfano, unakuta kijana yupo na mtalii (anamuongoza) huko mbele anaanza kuongea deal na rafiki zake kwa hao watalii vile hawasikii kiswahili au hotelini, hii si sawa, nimeshuhudia haya.
Tofauti na guide wa bara kama Arusha, Iringa, Kilimanjaro wale ni kazi kazi mambo mengine ni baada ya kazi, yaani zanzibar undugu ndiyo tatizo na isingekuwa serikali kuwalinda basi upande huo utalii ungekimbia sana.
Wasafari na watalii wengi wanadhurika sana mjini Zanzibar sema baadhi yao wanapotezea tu, sasa akipatikana kama huyu ndiposa utajua ukweli.
UPDATE HII HAPA 👇🏾...
Warere Beach Resort: Zainab Oladehinde alikubaliana na mlinzi kufanya mapenzi. Alitaka tumlipe fidia USD 10,000
Kwa ufupi ni kuwa yule dada wa kinigeria alimpenda mlinzi wa kimakua na akaona haiwezekani kulala mwenyewe ila baadae akamgeuka, na walifikishana mpaka kwa mkuu wa wilaya ili kusuluhisha. Lakini yuke binti wa kiniger akagoma mpaka alipwe kitita cha US dollar 10,000 takribani 23.5mil ili...www.jamiiforums.com
Haya ndio majibu, huyo dada anataka pesa kutoka kwenye hiyo hotel.
Tayari nishawezaUnaingia google unandika warere hotel then itakuja hapo utakilick sehemu ya kurate hapo
Good 👍Tayari nishaweza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Twendeni google tukatai rate warere hotel ifike hata 4.5 Tena huko
Nimekuelewa sana hapo👍nchi ya Zanzibar.
We hujanielewa..nimesema Ivi kwamba Kuna mtu kaconfirm page ya Zainab ya Instagram birthday yake ni tofauti ya aliyoiandika kwenye thread kule TwitterAchana na huyo mtu wa insta hilo tukio limetokea mwaka jana na dada kaweka ushaidi tunahitaji wahusika na serikali ndio waseme
Huyo mtu mwenye harufu mbaya si ndio huyo masai wamepiga selfiekuna kitu hakiko sawa inawezekana kuna harufu ya utapeliView attachment 2190559View attachment 2190560
View attachment 2190561
View attachment 2190562
View attachment 2190563
Katika pitapita zangu za leo nimekutana na tweet hii ya binti kutoka Nigeria,aliyekuja Tanzania kwenye matembezi na kusherekea sikukuu yake ya kuzaliwa .
Ameeleza namna ambavyo alikuwa amelala Warere beach hotel na usiku wa manane akashangaa kuna mwanaume kitandani anampapasa papasa na kutaka kumbaka.
Kwa namna alivyoandika habari hii naona kuna shida kubwa sana katika hiyo hotel..kuna shida namna polisi aliporipoti walivyolichukulia na kushughulikia jambo lake.
Lakini pia to me namuona kama binti ambaye ni very strong,kama asingekuwa na hizo evidence huenda angeambiwa kapika hili jambo.Pamoja na kwamba kalitoa wakati huu ambao tuna issue ya uzinduzi wa royal tour ni vyema serikali yetu ilifuatilia kwa karibu na kutoa majibu ya sakata hili.
Nimeangalia hiyo tweeter namna inakuwa retweeted na baadhi ya comments za watu kucancel Plans zao za kuja Tanzania baada ya hiyo habari...ni aibu kwa kweli..wahusika wawajibishwe na binti huyo arudishiwe fedha zake. Kama kuna hotel zingine wenye tabia kama hii zikomeshwe pia mara moja ili kuendelea kulinda na kukuza sekta yetu ya utalii.Raisi wetu anajitahidi sana lakini unakuta tuna watu wenye akili mgando kama hao wa hiyo hotel.Kama room ilifungwa,namna ya mtu mwingine kuingia ni kwa master key ambayo hotel inayo..ili jambo linakasirisha sanaa.
UPDATEShttps://www.jamiiforums.com/threads/warere-beach-resort-wamiliki-wajibu-kwa-barua-nzito-wanasema-yule-binti-alimpapatikia-mlinzi.1974708/
UPDATES
Tayari serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia commision ya utalii imetoa statement na kwamba uchunguzi umeanza mara moja
View attachment 2190393
Alialikwa kula keki ya Birthday chumbani akaenda matokeo yake mlinzi akawa anataka kubakwa na huyo Mnigeria akatimua mbioSwali, huyo mlinzi aliingiaje chumbani kwa huyo demu?
Naona kuna uongo mwingi hapa, hata kama kweli, usalama wa chumba chake ni wajibu wake kwanza kabla ya Menejimenti ya Hotel, ndo maana kila room ina funguo zake na kila mteja ana room yake, AACHE UJINGA NA UZANDIKI
sina uhakika kama ndio uyo ila iyo picha ilipostiwa baada ya tukio, kiujumla stori ya huyu dada ina maswali mengi kuliko majibu maana inaonekana ishu ilifika mpaka kwa mkuu wa wilaya bidada akataka alipwe $10000 walivyokataa akasema ataichafua hotelHuyo mtu mwenye harufu mbaya si ndio huyo masai wamepiga selfie
Nadhani majibu mmeshaanza kuyapata sasa na huo utapeli anaoufanyaLakini umesoma tweets zake uko twitter na clips alizoziweka?
Instagram Account ya hiyo hotel imeblock hasiweze kuendelea kutoa lawama, sababu ya kublock ni nini?
Kama ni uongo si wangejibu alafu wamchukulie hatua za kisheria, kwa kublock watu wasitoe mawazo yao kunaonyesha kuna tatizo kwenye hiyo hoteli.
View attachment 2190501
View attachment 2190502
Ni maajabu hapo mtu mwenye trauma ya kutaka kubakwa kwa maelezo yake. Imemchukua mwaka mzima mpaka kukaa sawa aandike mlolongo mrefu mtandaoni. Akaendelea kula maraha huko zenji halafu depression ikaja baadae au.sina uhakika kama ndio uyo ila iyo picha ilipostiwa baada ya tukio, kiujumla stori ya huyu dada ina maswali mengi kuliko majibu maana inaonekana ishu ilifika mpaka kwa mkuu wa wilaya bidada akataka alipwe $10000 walivyokataa akasema ataichafua hotel
Basi tunaloooNenda twitter kaweka ushahid had maelezo alioandika police plus video akiwa kituo cha polis na report ya daktar
Hali si hali njemaAmeweka Wazo kuwa alikuwa kwenye therapy