Uchira 1
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 5,994
- 8,696
Kiufupi nirudi kusema kwamba bi dada hakubakwa ila kilifanyika kitendo kingne na kauli kuwa alikuwa tiba ya mwaka mzima bado haiiniingilii akilini.
Miongon mwa watu wanatesa serikali n wageni.
Tukio lolote likitokea kwa mgeni linachukuliwa kwa hali ya tofauti sana.
Pia niseme kama angekuwa na nia njema angeenda hata kureport ndan ya nchi yake kama anaona hakutendwe hakk ndan ya tanzania.
Pia tanzania kunaubalozi wa Nigeria. Matatizo yote yakimpata mgeni wa nchi fulani lazma ubalozi wake ujuzwe.
Tufike mahali tusitake kuamini kilakitu bila kufikirisha akili zetu. Binafai nkiri kuwa hilo linaweza kumtokea mtu yoyote ila lengo lake kuweka mtandaoni ni nn? Mitandao itampa hakiii? Anatafuta huruma za watuuu?
Tufike mahali tuchagize akili zetu pia ambacho alichofanyiwa huyo bi dada inawezekana aliahikwa tuu sasa analazimisha iwe kuwa alibakwa kuna vigezo vya kisheria ambavyo vinamaanisha mtu kabakwa na ni viwili yan ridhaa na ileee ilipenya. Kinyume na hapo hamna ubakaji.
Mwisho tuyapime maneno ya watu kabla hatujajichafua wenyewe zaidi. Kunawatu kwa malengo yao wanaweza chafua mtu au taasisi flan