Sakata la Warere Beach hotel kwa mtalii mgeni, Serikali ichunguze, wahusika wachukuliwe hatua, wametia doa sekta ya utalii nchini

Sakata la Warere Beach hotel kwa mtalii mgeni, Serikali ichunguze, wahusika wachukuliwe hatua, wametia doa sekta ya utalii nchini

Kiufupi nirudi kusema kwamba bi dada hakubakwa ila kilifanyika kitendo kingne na kauli kuwa alikuwa tiba ya mwaka mzima bado haiiniingilii akilini.
Miongon mwa watu wanatesa serikali n wageni.
Tukio lolote likitokea kwa mgeni linachukuliwa kwa hali ya tofauti sana.
Pia niseme kama angekuwa na nia njema angeenda hata kureport ndan ya nchi yake kama anaona hakutendwe hakk ndan ya tanzania.
Pia tanzania kunaubalozi wa Nigeria. Matatizo yote yakimpata mgeni wa nchi fulani lazma ubalozi wake ujuzwe.

Tufike mahali tusitake kuamini kilakitu bila kufikirisha akili zetu. Binafai nkiri kuwa hilo linaweza kumtokea mtu yoyote ila lengo lake kuweka mtandaoni ni nn? Mitandao itampa hakiii? Anatafuta huruma za watuuu?

Tufike mahali tuchagize akili zetu pia ambacho alichofanyiwa huyo bi dada inawezekana aliahikwa tuu sasa analazimisha iwe kuwa alibakwa kuna vigezo vya kisheria ambavyo vinamaanisha mtu kabakwa na ni viwili yan ridhaa na ileee ilipenya. Kinyume na hapo hamna ubakaji.

Mwisho tuyapime maneno ya watu kabla hatujajichafua wenyewe zaidi. Kunawatu kwa malengo yao wanaweza chafua mtu au taasisi flan
 
Kuna mtu kasema ukienda kwenye insta ya huyo mdada anaonekana alijiwish birthday tarehe tofauti na aliyosema kwenye thread ya insta....mambo ni mengi but all in all Serikali iingilie kati Kwa kufatilia Cha kweli ni kipi na kama ni kweli wamuombe msamaha public na kuhakikisha watalii kwamba ni salama Kuja znz

We hujanielewa..nimesema Ivi kwamba Kuna mtu kaconfirm page ya Zainab ya Instagram birthday yake ni tofauti ya aliyoiandika kwenye thread kule Twitter
Ila hakuna malalamiko mtandaoni. Hana nia njema
 
Kuna sababu gani aseme uongo? Kama mnataka watalii waje nchini kwenu ,tabia kama hizi ni lazima zikemewe na adhabu kali sana zitolewe kwa wote watakaopatwa na hatia kwa makosa kama hayo.
Na kwa nini asiseme uongo wakati anataka fidia. Tapeli tu huyo kama matapeli wengine wa kinageria.
 
sina uhakika kama ndio uyo ila iyo picha ilipostiwa baada ya tukio, kiujumla stori ya huyu dada ina maswali mengi kuliko majibu maana inaonekana ishu ilifika mpaka kwa mkuu wa wilaya bidada akataka alipwe $10000 walivyokataa akasema ataichafua hotel
Kama ilikuwa n criminal anataka alipwe nn akafie mbali. Na Tanzania wanahaki ya kumshtaki kwa kuchafua hotel yake
 
Ili jambo humu mnachukulia mzaha lkn uko Twitter wanaigeria wamechafukwa hotel imeenguliwa nyota kutoka 4.5 mpk 1.5 ishu ishakuw kubwa
Watalii hawataacha kuja hata wakiweka rating kuwa zero maana hao ni matapeli tu. Kumbuka kuna site nyingi ambapo hotel ipo sio moja.
 
Mzee Dada ana clip na picha kibao

Polisccm wanamfukuza

Hawa polisi wetu wapumbavu sana aisee
Una video akibakwa, hilo la polisi hata ungekuwa wewe mtu analeta ufala ungemchukulia hatua pia.
 
Ndugu zangu watz someni uzi wa tukio tusikimbilie kukomenti ili tuwe wa kwanza.

Huyo ni binti wa Nigeria alikuja kula sikukuu yake ya kuzaliwa akiwa mwenyewe ndiposa kuna jibaba lilijitosa usiku kumbaka.

Ila mpaka muda huu, waniger wameshachafua sana huko tweeter na hiyo hoteli inapigwa misumari ya kufa mtu, muda huu nilipokuwa naandika kwenye vile viwango vya hotel bora google best hotel review kutoka 5.0 mpaka 1.8 ...
View attachment 2190293
Na waniger wameambizana kuireport kule booking.com ambao ni mtandao unaotoa taarifa mbalimbali za hotel duniani ikiwa ni huduma, usalama, chakula nk, ambapo mwishoni upigiwa kura na hotel kupewa cheti.

Yaani pasipo serikali kuingilia kati basi kuna hatari utalii znz kupungua sana.


Kutokana na kisa hiki nashauri mambo kadhaa kwa hasa hasa kwa serikali ya zanzibar, na huu ni ukweli japo haupendwi hapa visiwani, asilimia kubwa ya vijana wazawa wa visiwani si waaminifu, wajuzi na wabunifu kwenye tasnia ya utalii mpaka mahotelini.

Yaani ni vile serikali ya Zanzibar inawabeba, mfano, unakuta kijana yupo na mtalii (anamuongoza) huko mbele anaanza kuongea deal na rafiki zake kwa hao watalii vile hawasikii kiswahili au hotelini, hii si sawa, nimeshuhudia haya.

Tofauti na guide wa bara kama Arusha, Iringa, Kilimanjaro wale ni kazi kazi mambo mengine ni baada ya kazi, yaani zanzibar undugu ndiyo tatizo na isingekuwa serikali kuwalinda basi upande huo utalii ungekimbia sana.


Wasafari na watalii wengi wanadhurika sana mjini Zanzibar sema baadhi yao wanapotezea tu, sasa akipatikana kama huyu ndiposa utajua ukweli.


UPDATE HII HAPA [emoji1484]...
Hii ni website ipi? Mbona naweka screenshot nusu nusu
 
Watalii hawataacha kuja hata wakiweka rating kuwa zero maana hao ni matapeli tu. Kumbuka kuna site nyingi ambapo hotel ipo sio moja.
Ukiwa na biashara ambayo umeipigania muda muda mrefu ikapata 4.5 star halafu within hours watu wakaiboycott ikawa na 1 star ndio utajua.

Ila hiki ulichoandika hapa ni ujinga.
 
Polisi gani na wewe nchi hii ina polisi au mamluki.
Hao hao ukiwa na shida wanakusaidia hata ukisikia panya anaangusha vyombo si unapiga yowe kutaka msaada wao?
Mzee unataka kubishana wakati dada ana evidence zote?
mamluki tu huyo. Wataalamu wa mambo tunaona anajambo lakee na si kuelezea hali halisi.
Angekuwepo huku tungejua dhamira yake kuu ni ipi
 
Kwakweli labda mtu anayelala kama pono. Mimi nilale mtu anishike tu nashtuka sembuse matiti nifikiri ndoto
Sio siri uchunguzi ufanyike kwa kina na kama amedanganya she has to pay. Maana amechafua jina la hotel na jina la nchi.
watu tulijua tangu mwanzo
kwanza hotel kubwa kama hiyo mtu anaingiaje pasipo kuonekana?

eti ameteseka mwaka mmoja kihisia wakati siku hiyo ya tukio siku tatu mbele akaonekana na masai wanakula bata.

Halafu eti akadai million sijui 24 hataki chochote ni nini kama sio tapeli, wapopo ni matapeli.
IMG_20220417_175320.jpg
 
Polisi wetu kuna mahali wanakosea....kudhani kila kitu ni kutumia nguvu kuliko akili. Suala hili wangeweza kulishugulikia kwa weledi na kuweka maslahi ya taifa mbele....wao wakatumia manguvu na hivyo wengi 'you know.....'haipandi kabisa,wakaishia kugeuza kibao kama kawaida yao. So horrible indeed.
Nakataa mkuu watu wanafanya kaz kwa uadilifu hasa ukifika swala la mtu kutoka nje ya nchi maana wale wanatabu sana na watu wote wanaofanya kaz na wageni n mashuhuda.
Nahisi huyu kunajambo kajificha nyuma yalo. Soon tutalitambua tuu.
Kunamaswali ambayo hata we nkikuuliza huwez yajibu ambayo yako kwake.
 
Sikujua mwanamke akinywa pombe ni ruhusa kumbaka. Mama yako yupo wapi nimleweshe leo sikukuu? usisahau dada zako nataka nipige mtungo leo... Shangazi zako wapo free wale walevi?
uzuri ni kwamba unadhihirisha ujinga wako ulipo na ndio maana wanaija wanatuona mazuzu sababu ya ma kuku wa kisasa wachache kama wewe,

kama wamekutuma mjue this time tutawabaka kweli kweli.
 
Mimi nimewaza tofauti, sijaiangalia incidence ya kubakwa kuibiwa na kadharika.
Uzembe wa mwenye hotel na polisi kulishughulikia ili swala kikamilifu na kisahihi ndio imeleta yote haya.
Kwenye hotel ni kweli muda wa saa nane usiku hata huku bara hoteli nyingi watu wa reception wanalala hususani hizi za range ya chumba elf 50 mpaka laki 1,simu hazifanyi kazi ni kweli ila hii ukitoa hotel za Dar es salaam ila mikoani na hata Zenji hotel za mid price kuna tatizo hilo,polisi ndio wameharibu kabisa mtalii unamfukuza vipi kituon najua tatizo karekodi sawa utasema security protocol hairuhusu lakini mtu kaja anatatizo tena ugenini unampotezea that's too bad tuchukue sheria kwenye haya na elimu pia zitolewe kwa wahusika kuepuka haya zaidi. Imagine hata wewe uko ugenini umekoswa kubakwa na umeibiwa plus polisi wakupotezee utakua kwenye hali gani?
Kukuza utalii kwanza tujue wanataka nini na wanategemea nini kutoka kwetu, hata zile habari za kila mzungu ukikutana nae unaanza JAMBO tutambue kuna nchi kusalimiana ni kelele na kupoteza muda wanaboreka wanapopewa full attention everywhere.
Akafie mbali. Asingeridhika na yalotokea angeenda ubalozin kwao kwa taarifa zaidi na angepa msaada zaid ila lengo toka awali lilikuwa kujipatia fedha na alipokosa ndo analeta haya
 
Sasa pombe anywe chumbani kwake peke yake ina uhusiano gani na kubakwa.
Umiza kichwa mzee usiishi kama kuku mbakaji aliingia vipi hotel 4 star kama ile?
kama sio waliongozana wote?

eti alihisi mtu anamtomasa kisha akaaga eti "baby naenda kuchukua condom"

mwanzo watu wa jf mlikuwa wajanja Sana ila siku hizi sijui mmekuwaje?
 
Umiza kichwa mzee usiishi kama kuku mbakaji aliingia vipi hotel 4 star kama ile?
kama sio waliongozana wote?

eti alihisi mtu anamtomasa kisha akaaga eti "baby naenda kuchukua condom"

mwanzo watu wa jf mlikuwa wajanja Sana ila siku hizi sijui mmekuwaje?
Tumekuwa lower thinkers
Tumekuwa vilaza sana yan tunaenda kimihemko hemko bila kufikirissha bongo kama ilivyokuwa nyakati zile za nyuma
 
Back
Top Bottom