Killmonger
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 2,021
- 2,242
Danga ni hili
Mfanyakazi wa Shirika la Mfuko wa Pension (PPF) Anitha Oswald (32) Ni Mtuhumiwa wa Kusafirisha dawa za Kulevya
Mtuhumiwa wa kusafirisha dawa za kulevya kwa kutumia gari lake, Anitha Oswald (32) ambaye ni mfanyakazi wa Shirika la Mfuko wa Pension wa Mashirika ya Umma (PPF), mkoani Kilimanjaro, akiwa kituo cha polisi mkoani humo baada ya kukamatwa na polisiwww.jamiiforums.com
Jf best record keeper.