Sakata la Wema Sepetu na Diana lafikia pazito

Sakata la Wema Sepetu na Diana lafikia pazito

Mungu anusuru vizazi vyetu maana dah!its too much Wema hana kutulia jamani sasa ile press conference ya kusema amekua ndo amekua msagaj?

Halafu team Wema wanamharibu sana!kama yule Wema memes anamsifia ujinga tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wema ana msongo wa mawazo pia na vilevi anavyotumia vinamtoa nishai

Those are the sources for her evil actions!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kufuatilia mama Wema akagundua Wema kaongozana na Diana Kimaro na jamaa mwingine anayetajwa Kwa jina la Kenneth Sepetu ambaye Mama Wema anashangaa jamaa huyo kalipata wapi jina la Sepetu kwakuwa sio ndugu yao.
Nimeishia kusoma hapa kwani hapo kwenye red ndio kwenye maajabu na kuonesha uwezo wa kufikiri wa mama huyo ambavyo unavyokinzana na umri wake.
 
Naelewa maumivu anayopitia huyo Mama kama mzazi, lkn atapiga wangapi???Atafute njia ya kumsaidia mtoto wake kama kweli kawa msagaji na si kupiga watoto wa wenzake, yy mwenyewe alimwachia sana binti yake, nadhani hakuplay part yake vzr km mama
 
Naelewa maumivu anayopitia huyo Mama kama mzazi, lkn atapiga wangapi???Atafute njia ya kumsaidia mtoto wake kama kweli kawa msagaji na si kupiga watoto wa wenzake, yy mwenyewe alimwachia sana binti yake, nadhani hakuplay part yake vzr km mama
Sidhani kama Ana umia kama mzazi, Mzazi anaye jielewa hawezi kumwambia binti mwanaume huyu akufai hana pesa tafuta mwengine.
 
Leo 'fyucha hazibandi' kaachia ile video yao ya madenda.....Basi kichechefu kitupu huko insta!

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu fyucha nae nadhani ni fyatu, kuna siku kamjibu Wolper jibu kuntu baada ya wolper kumwmbia amlipe wema hela zake alizo mkopa, Fyucha akajibu nae arudishiwe shaha...w. zake wema alizokuwa ANABUGIA kwa wiki mbili mfululizo..eti huyu nae ana mke..mjini kumejaa vituko.
 
Bibi kaamua kujilelea wanae tu....humuoni alivyo na hasira Tukinao coz ni ile kashajifanya bab kubwa so kulia hadharani child support ni bonge moja la damage kwake....kifuatacho kaamua kuwapiga madale family buloku na watoto kapewa kingbae[emoji16]


Mawater hatoi hata mia ndo maana kastuli full kusuka twende kilioni na Kilimanjaro chezea[emoji16]

Hapo mama anatamani amchomoe kastuli amuuze wapi sijui, mama kazoea bia na kitimoto daily, sasa kwa water-zo ni mwendo wa ugali harage[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Oddo umeniweza hii mawater mpk kuja kui decode! imenipa tab sanaaaa!
aseeeeeeeeh!
umekwivaaaa!
 
Back
Top Bottom