Sakata la Wema Sepetu na Diana lafikia pazito

Sakata la Wema Sepetu na Diana lafikia pazito

Alihojiwa

akasema ilifika hali akawa hata mafuta ya kupaka hana Jumbe anamwambia aombe kwa wifi ajipake, akachanganaya akili akaona karibu atapewa karai achome vitumbua kibarazani.
Haaahaaa[emoji1787][emoji1787]angekoma!

Kumbe pia duka sio lake pale mwamanyamala?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weee! mama hakuwa anamtaka hata huyo Diamond wakati ule mpunga si ulikuwa hauja changanya kama sasa, mama alikuwa anataka mwanae auze kwa mapedeshee tu.
Halafu huyo D haongangi hata umroge!

Yaaaan ni bahili unaambiwa, mwenyewe wema alihadithia, anakwambia jamaa anapenda kuhongwa mbaya!

Hukumbuki mpaka wema akanyoa akawa kipara, anavaa madera full kumdanganya atamuoa ili apunguze gharama za matumizi!

That's y mama wema huwa hampendi coz anajua hajawahi kula hata mia ake

Aisee! kumbe kina Tukinao walifuata status tu?1 Lakini Tukinao aliambulia gari..nasikia hata Ma water hatoi kitu na mama mkwe hampendi kabisa anadai mwanaume alikwa marehemu aliefia kwenye stuli..lakini ma water hasikii kitu now ndio maana wamekuwa karibu na baba maana mama ana tamaa kichizi.
 
Bibi kaamua kujilelea wanae tu....humuoni alivyo na hasira Tukinao coz ni ile kashajifanya bab kubwa so kulia hadharani child support ni bonge moja la damage kwake....kifuatacho kaamua kuwapiga madale family buloku na watoto kapewa kingbae[emoji16]

Mawater hatoi hata mia ndo maana kastuli full kusuka twende kilioni na Kilimanjaro chezea[emoji16]

Hapo mama anatamani amchomoe kastuli amuuze wapi sijui, mama kazoea bia na kitimoto daily, sasa kwa water-zo ni mwendo wa ugali harage[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wachache sana wanaikubali na kuipokea hali ya kutokuwa na mtoto..!! Wema lazima achanganyikiwee kama sio kupagawaa... Labda anahisi diana anaweza mpa mimna sijuii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Amekata tamaa sanaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom