Haaaaahaaaaaa, kweli fyucha.. jamani, halafu wema inaonekana anapenda sana madenda unakumbuka alivyotolewa gerezani na mama ake baada ya kumuwekea dhamana alivyovunja kioo cha gari cha kanumba wakati huo wema anaishi na Jumbe, kutoka lupango tu kwenye viwanja vya mahakama akamvaa Jumbe na kumpa madenda hovyo hovyo na kutaka kuondoka nae, mama akapagawa akatishia kufuta dhamana, wema yuko baby , baby huku anakula denda tu Jumbe kabaik na aibu, cha eti leo afundishwe tabia mbaya na Diana? Litakuwa ajabu jipya la dunia.