Sakata la Wema Sepetu na Diana lafikia pazito

Nilitaka kusema hiki kitu pia, hawa mama zetu asilimia kubwa wako hivyo sema tu wao hawaongei waziwazi
 
Pole oddo![emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
ila mwenzangu huyu mama Ubaya naye hachokiiii!
khaaaa!
na mamake anawazaje kuhisi mwanae hapendi anayofanya basi tu analazimishwa!
U Lesbo hajauanza leo, toka Enzi za Aunty.
yaaaani hajaanza leo. KISA CHA USHOGA WA KINDAKINDAKI NA MASHOSTI ZAKE WOTE NI
National Milling Company!
TRACE BACK anzia kwa P, mana nae aha mashaaalah hilo eneo
YANI KOTEEEE UNAKOKUJUA!
HUONI ALIVYO SOOOO CONTROLLING AND NAIVE at the same time kwa hao waliokwisha wahi kuwa mashosti zake?
na unaambiwa hata magasho wasokauka kwake yeye anapiga nao threesome!
huyo kene sijui kete ,hao kina danny nini sijui!
wotee
 
Shilawadu wamerusha clip ya mama wema anawaomba wote wanao mfollow wema instagram wamchane aache tabia mbaya anasema hata akiwa block kwani mnapumgukiwa nini?mama kaachia mitandao imfunde mwanae
 
Hako kadiana machine ya kusaga kumbe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
kwamba Diana anamharibu Wema
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…