MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kama kila Mwanasheria / Wakili akienda tu Hewani Kuongea katika Redio na Runinga kuhusiana na Sakata la Yanga SC na Mdhamini Mkuu wao Kampuni ya Sports Pesa anasema lwake huku Wengine wakijichanganya kabisa kwanini tulilalamika na tunalalamika wanaosoma Law School of Tanzania Kufeli sana tofauti na ilivyokuwa nyuma?