Sakata la Yusuph Kagoma kusaini timu mbili Klabu ya Simba kukatwa alama

Sakata la Yusuph Kagoma kusaini timu mbili Klabu ya Simba kukatwa alama

Jiulize swali moja. Kwa nini Yanga hawana kesi na Singida ila wanafanya kesi na Kagoma? Kwani Kagoma alikuwa mchezaji huru au alitakiwa auzwe na Singida? Kama alitakiwa auzwe, kwa nini hawakupeleka hela kwa muuzaji? Je, muuzaji alighairi kuuza au aliamua kuuza sehemu nyingine?
Wewe si ulisema alikua na mkataba na SGF?
 
Kumne hata hauelewi hili sakata lipoje? Kagoma hakua na mkataba na SBS alikua huru alicho fanya yeye ni Ku sign timu mbili kwenye dirisha moja la usajiri
Haya ndugu, uso umekushuka! Ulikomaa kusema eti Kagoma alikuwa huru. Mwanasheria wako wakili msomi Simon Patrick anasema wamemnunua Singida FG kwa sh. 3M. Sasa mimi siingilii, nenda ukakae na mwanasheria wenu mje na jibu moja, Je, alikuwa huru au aliuzwa? Bahati mbaya katika wawili wenye akili, wewe na mwanasheria sio miongoni mwao
 
Yanga walichofanya ni kucheza na akili za mpira tu.. kwamba kwa kuwa kagoma kagoma kucheza wamuache acheze machi2 au 3 kisha wakalianzishe tff na ikionekana kuwa arikiuka Taratibu za usajiri wants wana mfungia kucheza mpira... kisha waliomsajiri alama za Michezo aliyocheza wanazifyeka...


Kwa hyo hyo team inakuwa kwenye kizungumkuti kupoteza ubingwa.. inapaswa hyo Tim ijiaandae kisaikolojia
 
Back
Top Bottom