Sakata la Zari na makalio bandia

Sakata la Zari na makalio bandia

Status
Not open for further replies.
Nina experience na taiti za vigodoro. Hapo kubali mkatae vigodoro vimehusika. Ila nasikitika kuwaambia kwamba kuanzia sasa zari atakuwa mtumwa wa hivyo vigodoro hataweza kutoka ndani Bila vigodoro ili kuuthibitishia uma kwamba ni tako Lake original on flick
 
Si za ghafla vile kama flani,na tofauti Zari kachongwa kwa viwango sura nzuri tumbo la wastani kama hajazaa kiuno kinaonekana maugio mpaka na sehemu za mwanaume kuwekea mikono mkicheza blues,maungo teke nayo yako kimpangilio akivaa zina valika na zinamkaa miguu sasa kuna watu wakiiona wanatamani kujiflash chooni na anavyo jua kuionyesha wacha uki acha yooote hayo mshiko anao tena si wakukatiwa umeme wala kudaiwa maji, Haya akijitizama yeye umbo Horrible,shapeless ame kaa kaa kama mkengele wa kanisani miguu kama ameapizwa havuki jangwa yule atadidimia,kawaida ya debe tupu kelele nyingi akinunua hata toilet paper anataka watu wajue,na sasa kashaanza ujinga wa kutapikia watu mboga za majani usi mkalie karibu yote hiyo wajue ana kitu tumboni,usipo angalia utakuwa mchawi kama hujawa,ACHA WIVU.
Hahaha hahaha hahaha
 
Kama kumzalia mwanaume mtoto ndio kumpenda basi alimpenda zaidi Ivan aliyemzalia watoto watatu.
Ni zaidi ya kumpenda mwanaume unapo amua kuzaa nae, zaidi umemuamini ni baba bora kwa watot/mtoto wako. Kwani zari kamaliza kuzaa huenda akamzalia Dimond zaidi ya hao watatu.
 
Hivi huwa inakuwaje aisee, demu kuwa na double diff hips kama Madam, yaani hips 4
hili tatizo lipo sana mjini hapa yaani ukiangalia wadada kwenye magauni wamegawanyika vipande vipande kama mabonde na milima ya uluguru... hakuna uwiano kati ya hipsi na tako na paja..... nimevutiwa kufanya utafiti.
 
Ila ukimkuta ambaye anazo natural ni raha sana, wengi vigodoro tu
 
wadada kwanini mnaoneana sana wivu huyu dada nili muona live pale darfreemarket mngesema mfupi sawa japo kwa jins alivo ufupi wake ndo staik yake lakini huyu mwana mke ni mrembo tako lipo sura nzuri mguu niliutolea mate kila mwanaume rijali akimuona zarina roho itamuuma tu kuona dogo diamond ana faidi sana wana wake mpendane
 
Hapo umemaliza kujifanya bosslady akati anafatilia maisha ya watu insta...hehehee mbona upande wa pili wanamsema jamani Tanzanians we are fools for sure yaani Mtu sijui kakurupukia Wapi na migodoro yake anaropoka tuuu shenzi na tunamsapoti akati kwao ndio kwanza wanamuona kama mimi tu endeleeni kumpaisha
Sifa yetu kubwa Watanzania ni unafiki ULIOTUKUKA.
Hivyo usishangae kuhusu hili mwaya.
 
Ninachopendea jukwaa hili ukimsema wema rukhsa
Kiba ruksaaa
Sijui rayc na wengineo (hata king of alk social media ) ruksa...

Ila ujimsema domo na zarina mapovu telll

Mfyuuuuu zao wasisemwe wao nani???? Watu waache shobo
Hahahahahaa hapo kwa mzee wa kupasha Le Ubongoz umenichekesha sana.
Leo anarishia viza huko Instagram.
 
Nina experience na taiti za vigodoro. Hapo kubali mkatae vigodoro vimehusika. Ila nasikitika kuwaambia kwamba kuanzia sasa zari atakuwa mtumwa wa hivyo vigodoro hataweza kutoka ndani Bila vigodoro ili kuuthibitishia uma kwamba ni tako Lake original on flick
Hahahahaaa ukweli mchungu huu!
 
Ni zaidi ya kumpenda mwanaume unapo amua kuzaa nae, zaidi umemuamini ni baba bora kwa watot/mtoto wako. Kwani zari kamaliza kuzaa huenda akamzalia Dimond zaidi ya hao watatu.
Kwa maana hiyo mpaka sasa Zari anampenda na kumuamini Ivan zaidi hadi pale atakapomzalia Diamond zaidi ya hao watatu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom