binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Haaahaa nimekumbuka mangekimambi alivyosema miguu ya Zari ni ugonjwa, usiombe kuwa hater jamani!Wivu ni ugonjwa mbaya sana na bahati mbaya hamna hospitali. Zari anawakosesha usingizi watu jamani haaa haaa haaa. Mdada mrembo wa haja kila siku wanamzushia singo mpya. Sasa watasema ile sura siyo yake.