Ha ha ha zitafika magotini sasa
Mwanaume akiingia cha kike hana shida kwani anasimama tu na kuachia mkojo, vipi wewe ukiingia cha kiume?!Mhhhhhh kweli wewe mwenzetu umeingia cha kike mzima mzima!
Labda lipstick za kiss zimemharibu ha ha ha ha hasijui alijifanys nini yarabiii
Yeah zipo zinasaidia ukivaa kugauni kinakaa poa [emoji4] [emoji4]Sigh kumbe kuna na butt lifting?
Hahaha hahaha hahahaSi za ghafla vile kama flani,na tofauti Zari kachongwa kwa viwango sura nzuri tumbo la wastani kama hajazaa kiuno kinaonekana maugio mpaka na sehemu za mwanaume kuwekea mikono mkicheza blues,maungo teke nayo yako kimpangilio akivaa zina valika na zinamkaa miguu sasa kuna watu wakiiona wanatamani kujiflash chooni na anavyo jua kuionyesha wacha uki acha yooote hayo mshiko anao tena si wakukatiwa umeme wala kudaiwa maji, Haya akijitizama yeye umbo Horrible,shapeless ame kaa kaa kama mkengele wa kanisani miguu kama ameapizwa havuki jangwa yule atadidimia,kawaida ya debe tupu kelele nyingi akinunua hata toilet paper anataka watu wajue,na sasa kashaanza ujinga wa kutapikia watu mboga za majani usi mkalie karibu yote hiyo wajue ana kitu tumboni,usipo angalia utakuwa mchawi kama hujawa,ACHA WIVU.
Hivi huwa inakuwaje aisee, demu kuwa na double diff hips kama Madam, yaani hips 4Ha ha ha zitafika magotini sasa
Ni zaidi ya kumpenda mwanaume unapo amua kuzaa nae, zaidi umemuamini ni baba bora kwa watot/mtoto wako. Kwani zari kamaliza kuzaa huenda akamzalia Dimond zaidi ya hao watatu.Kama kumzalia mwanaume mtoto ndio kumpenda basi alimpenda zaidi Ivan aliyemzalia watoto watatu.
hili tatizo lipo sana mjini hapa yaani ukiangalia wadada kwenye magauni wamegawanyika vipande vipande kama mabonde na milima ya uluguru... hakuna uwiano kati ya hipsi na tako na paja..... nimevutiwa kufanya utafiti.Hivi huwa inakuwaje aisee, demu kuwa na double diff hips kama Madam, yaani hips 4
Ila ukimkuta ambaye anazo natural ni raha sana, wengi vigodoro tuhili tatizo lipo sana mjini hapa yaani ukiangalia wadada kwenye magauni wamegawanyika vipande vipande kama mabonde na milima ya uluguru... hakuna uwiano kati ya hipsi na tako na paja..... nimevutiwa kufanya utafiti.
Sifa yetu kubwa Watanzania ni unafiki ULIOTUKUKA.Hapo umemaliza kujifanya bosslady akati anafatilia maisha ya watu insta...hehehee mbona upande wa pili wanamsema jamani Tanzanians we are fools for sure yaani Mtu sijui kakurupukia Wapi na migodoro yake anaropoka tuuu shenzi na tunamsapoti akati kwao ndio kwanza wanamuona kama mimi tu endeleeni kumpaisha
Tutaendelea hivohivo ... Ndo maana tunadissiwa kwa ujinga wetuSifa yetu kubwa Watanzania ni unafiki ULIOTUKUKA.
Hivyo usishangae kuhusu hili mwaya.
Hahahahahaa hapo kwa mzee wa kupasha Le Ubongoz umenichekesha sana.Ninachopendea jukwaa hili ukimsema wema rukhsa
Kiba ruksaaa
Sijui rayc na wengineo (hata king of alk social media ) ruksa...
Ila ujimsema domo na zarina mapovu telll
Mfyuuuuu zao wasisemwe wao nani???? Watu waache shobo
Hahahahaaa ukweli mchungu huu!Nina experience na taiti za vigodoro. Hapo kubali mkatae vigodoro vimehusika. Ila nasikitika kuwaambia kwamba kuanzia sasa zari atakuwa mtumwa wa hivyo vigodoro hataweza kutoka ndani Bila vigodoro ili kuuthibitishia uma kwamba ni tako Lake original on flick
Kwa maana hiyo mpaka sasa Zari anampenda na kumuamini Ivan zaidi hadi pale atakapomzalia Diamond zaidi ya hao watatu?Ni zaidi ya kumpenda mwanaume unapo amua kuzaa nae, zaidi umemuamini ni baba bora kwa watot/mtoto wako. Kwani zari kamaliza kuzaa huenda akamzalia Dimond zaidi ya hao watatu.