Sakata la Zari na makalio bandia

Status
Not open for further replies.
Wivu ni ugonjwa mbaya sana na bahati mbaya hamna hospitali. Zari anawakosesha usingizi watu jamani haaa haaa haaa. Mdada mrembo wa haja kila siku wanamzushia singo mpya. Sasa watasema ile sura siyo yake.
Haaahaa nimekumbuka mangekimambi alivyosema miguu ya Zari ni ugonjwa, usiombe kuwa hater jamani!
 
Haaahaa nimekumbuka mangekimambi alivyosema miguu ya Zari ni ugonjwa, usiombe kuwa hater jamani!
Kawaida mtu akiwa hater anaweza kusema hata sura si yako. Kama walivyokuwa wanasema zari hana mimba ameweka matambara baada ya kujifungua wakabadilisha wimbo ukawa wa DNA. Hater wana mambo sana.
 
Unanisahau shoga,ntapitwa na mengi ya mjini kama kisingeli hapo kilinipita
Shoga leo ndio nimekiona kibabu cha Killy Janga....uwiiiii
Hizo shida acha nife nazo tu!
 

Attachments

  • 1455275046481.jpg
    61.2 KB · Views: 99
So what?
 
aaaaaah niambie my best nifah upo, umegonga ikulu kumbe yule ni BIBI BOMBA? swaga zoooote kumbe ni KIBIBI?
 
This is more proof that god does not exist.
 
haya uliyoyasema hapa yana USHAHIDI...
unajifanya uko SMART kumbe ni mSENGErema tu..!
 
Shoga leo ndio nimekiona kibabu cha Killy Janga....uwiiiii
Hizo shida acha nife nazo tu!
Hahahaa ni shida nifaaa huyo baba anaweza fia kifuani,ila killy ana moyo mgumu sana huyu dada
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…