Sakata la Zari na makalio bandia

Status
Not open for further replies.
Zari ni level nyingine kabisa kmkuu Nifah huwa nakukubali sana na very soon ntakuwa follower wako ila hujamtendea haki kwenye post hii. Ningekubali kidogo Kama utalingansha picha zilizochukuliwa kwenye tukio moja alizopost yeye vs zilizopigwa na mtu mwingine but in the same event.
 
Aisee nifah mm napita subir wambea wenzio
 
ngoja nisogeze popcorn muda si mrefu kitanuka hapa ha ha
 
Kubwa kuliko yote Diamond karidhika, kamkubali na anampenda, Zari nae ni mwanamke alie mkubali Diamond na kumpenda ndio maana aka amua kumzalia mtoto. Haya mengine ni nyongeza tu, na jinsi wanavyo vutwa nyuma wao ndio wanazidi kusonga mbele. Wa mbili havai moja zari ana nyota nzuri.
 
Hayo makalio labda nae amekua na hipsi nne?
Si za ghafla vile kama flani,na tofauti Zari kachongwa kwa viwango sura nzuri tumbo la wastani kama hajazaa kiuno kinaonekana maugio mpaka na sehemu za mwanaume kuwekea mikono mkicheza blues,maungo teke nayo yako kimpangilio akivaa zina valika na zinamkaa miguu sasa kuna watu wakiiona wanatamani kujiflash chooni na anavyo jua kuionyesha wacha uki acha yooote hayo mshiko anao tena si wakukatiwa umeme wala kudaiwa maji, Haya akijitizama yeye umbo Horrible,shapeless ame kaa kaa kama mkengele wa kanisani miguu kama ameapizwa havuki jangwa yule atadidimia,kawaida ya debe tupu kelele nyingi akinunua hata toilet paper anataka watu wajue,na sasa kashaanza ujinga wa kutapikia watu mboga za majani usi mkalie karibu yote hiyo wajue ana kitu tumboni,usipo angalia utakuwa mchawi kama hujawa,ACHA WIVU.
 
Huyo Zari anawauma sana, kama nyie wanawake wa ukweee mlishindwa nini kumdaka Daimond,
mwacheni mtoto wa mwanamke mwenzetu, awe mzee haya, awe na makalio bandia haya,
mbona nyie mko artificial kila mahali lakini hakuna anayefuatilia.
Salama?? Eti Lizaboni anasema umewasaliti CCM kisa Mh. Kiongozi kasahau kulipa fadhila dhidi ya harakati Zako Za kimtandao.. Nimekutafuta sana , samahani kuleta hili ktk Uzi wa Nifah..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…