Franco Zetta
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 1,661
- 843
Kwani tatizo lenu ni nini hasa wivu,udaku tu,au ni ukosefu wa ajira? Na mbona mtu mwenyewe ni kama hajali? Kweli mko busy,poleni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni Jobless na ana stress za life plus sura mbaya. In short ni wale mademu wamenyimwa kila kitu.Wewe mwanamke unapenda kweli habari za kimbeambea sijui kwanini. Au mwenzetu labda ni muajiriwa wa Global Publishers kwa Shigongo?
[emoji1] [emoji1] hips double ila upande.....zari ni level ingine labda wamlinganishe wema na bongo movie wenzieHayo makalio labda nae amekua na hipsi nne?
Si za ghafla vile kama flani,na tofauti Zari kachongwa kwa viwango sura nzuri tumbo la wastani kama hajazaa kiuno kinaonekana maugio mpaka na sehemu za mwanaume kuwekea mikono mkicheza blues,maungo teke nayo yako kimpangilio akivaa zina valika na zinamkaa miguu sasa kuna watu wakiiona wanatamani kujiflash chooni na anavyo jua kuionyesha wacha uki acha yooote hayo mshiko anao tena si wakukatiwa umeme wala kudaiwa maji, Haya akijitizama yeye umbo Horrible,shapeless ame kaa kaa kama mkengele wa kanisani miguu kama ameapizwa havuki jangwa yule atadidimia,kawaida ya debe tupu kelele nyingi akinunua hata toilet paper anataka watu wajue,na sasa kashaanza ujinga wa kutapikia watu mboga za majani usi mkalie karibu yote hiyo wajue ana kitu tumboni,usipo angalia utakuwa mchawi kama hujawa,ACHA WIVU.Hayo makalio labda nae amekua na hipsi nne?
Salama?? Eti Lizaboni anasema umewasaliti CCM kisa Mh. Kiongozi kasahau kulipa fadhila dhidi ya harakati Zako Za kimtandao.. Nimekutafuta sana , samahani kuleta hili ktk Uzi wa Nifah..Huyo Zari anawauma sana, kama nyie wanawake wa ukweee mlishindwa nini kumdaka Daimond,
mwacheni mtoto wa mwanamke mwenzetu, awe mzee haya, awe na makalio bandia haya,
mbona nyie mko artificial kila mahali lakini hakuna anayefuatilia.