Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wivu inahusu...Ningekuwa sina shida nacho hii post inahusu nini?
Wa takoWivu wa kigodoro???
Hicho kigodoro umekiona?Wivu wa kigodoro???
Nasikia na mguu kajaza sponge na yule mtoto hajamzaa yeye.Wivu ni ugonjwa mbaya sana na bahati mbaya hamna hospitali. Zari anawakosesha usingizi watu jamani haaa haaa haaa. Mdada mrembo wa haja kila siku wanamzushia singo mpya. Sasa watasema ile sura siyo yake.
Hahahahahaaa eti sura sio yake!Wivu ni ugonjwa mbaya sana na bahati mbaya hamna hospitali. Zari anawakosesha usingizi watu jamani haaa haaa haaa. Mdada mrembo wa haja kila siku wanamzushia singo mpya. Sasa watasema ile sura siyo yake.
Nikiona picha najuaje kama ndani Kuna kigodoro?Kwani wewe hujaona picha?
kuwa kwa Zari hakutoi ule moyo wake wa kibinadamu ambao ni moyo wa nyama ambao unavuja damu.. Ni Moyo wenye kupokea na Kuumia kwa kila neno baya.Hahahahaaa na mbona baada ya yeye kujibu na mie kuhoji kulikoni atumie nguvu nyingi kutetea kuwa hatumii kigodoro kafuta post?
Halafu naona una-miss point ya msingi,mimi ni Anonymous ila Zari ni celebrity na hatakiwi kujibu kila litakalosemwa juu yake.
Kusemwa ni jambo la kawaida kwa celebrities, ningemheshimu kama angekaa kimya na kuendelea na maisha yake,amini nakuambia UKIMYA wa unayemsema vibaya unaumiza sana.
Vinginevyo hongera kwa utafiti wako wa asilimia sabini......!!!!
range nayo iko TRA imekamatwa na picha ziko sasa gari ya milioni 200 haina kodi akilipia kodi c itakua 300m yani bei ya vx v8 2015Hii nayo kali, ila hailevi...
Nimekuuliza umejuaje kuwa humo kwenye makalio ya mwanamke mwenzio kuwa kuna kigodoro? Au weye ndiyo kigodoro chenyewe?Sasa kutokujua kwako wewe mimi kunanihusu nini?