Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
- Thread starter
- #141
Umeongea meeengi lakini hakuna jipya zaidi unarudia rudia tu uliyokwisha kuyasema.kuwa kwa Zari hakutoi ule moyo wake wa kibinadamu ambao ni moyo wa nyama ambao unavuja damu.. Ni Moyo wenye kupokea na Kuumia kwa kila neno baya.
Kutokuwa kuwa kwako mtu maarafu hakukupi tiketi au ruhusa ya kumzushia mtu kile ambacho hastahili ama hakimuhusu.
Daima mabinti wengi ambao nadhani bado hamjakuwa kiakili bali kimwili huwa mnapenda sana kuattack watu kwa kuwa tu ni maarufu huku mkishindwa kutambua na Kujua ni ipi thamani ya Mtu.
Wewe kutokuwa kwako maarufu hakuondoi maumivu Moyoni kwa Zari Juu ya Maneno yenu.. Ni ajabu kupayuka na Kuongea uongo kwa Mtu ambaye hajawahi kukuzungumzia kwa chochote Achilia mbali kukujua.
Ukweli utabaki kuwa ukweli tu.. Wengi mnamchukia Zari kwa kuwa mlitamani Diamond awapitie lakini kwa bahati mbaya Hamjafika Level Ya Zarina Hassan na Hata kama Mmefika nadhani mnatoa bila kuangalia huyu ni nani na yule ni Yupi..
Ngoja nikujibu kuhusu Diamond...
Who is Diamond hadi nitamani kuwa naye?
Wanaume woooote hawa hadi nikamtamani Diamond?Kwanza sijawahi kuvutiwa na diamond kwa namna ya kimapenzi hata siku moja.(Nimewahi kusema kuhusu hili mara kibao sana).