Sakata la Zari na makalio bandia

Status
Not open for further replies.
Umeongea meeengi lakini hakuna jipya zaidi unarudia rudia tu uliyokwisha kuyasema.

Ngoja nikujibu kuhusu Diamond...
Who is Diamond hadi nitamani kuwa naye?
Wanaume woooote hawa hadi nikamtamani Diamond?Kwanza sijawahi kuvutiwa na diamond kwa namna ya kimapenzi hata siku moja.(Nimewahi kusema kuhusu hili mara kibao sana).
 
Oh,nilitaka kusahau yale maombi maalum mliyonipa ya kuwaita
Madame B BADILI TABIA 'Valentina' The Name
Kama kuna niliyemsahau anisamehe,awasilishe maombi upya.
umenisahau mimi tu
Hayo matako labda kanenepa tu si unajua MTU hunenepa hadi tako ? Hata ukiwatifalia SHOSTI zako walioongezeka mwili utagundua hilo
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Nimekuuliza umejuaje kuwa humo kwenye makalio ya mwanamke mwenzio kuwa kuna makalio? Au weye ndiyo kigodoro chenyewe?
Hivi unauliza nini wewe?
Anyway.... Tuliza akili yako kisha usome ulichohoji,acha kupanic kama mama kigodoro.
 
umenisahau mimi tu
Hayo matako labda kanenepa tu si unajua MTU hunenepa hadi tako ? Hata ukiwatifalia SHOSTI zako walioongezeka mwili utagundua hilo
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hahhahahaaa usijali rafiki yangu kipenzi,nitakuita wakati mwingine.

Kumbe?Basi sawa.
 
Kigodoro ni uzaman jaman... May be kafanya butt lifting tuuu kijungu kimekaaa sehem yake bas imekua shidaaaahhhh

Istoshe sio kwamba zari ni flat screen tafuta pic zake za bikin utaona
 
Yani mtu mzima unakaa chini unapost maisha ya watu... We have long way to go Tanzanians
 
Hiv ww unahisi una sifa za kuwa na mond hata kama hujawai vutiwa nae hakujui na wala hana time na ww iv ukipelekwa mbele na madem aliopitia mond na ww utaonekana..... watu kwa kujipa matumaini et cjawai vutiwa yaan yeye ndo usiseme hata hajawai kosea ata kukuona tu....!!!
 
Kigodoro ni uzaman jaman... May be kafanya butt lifting tuuu kijungu kimekaaa sehem yake bas imekua shidaaaahhhh

Istoshe sio kwamba zari ni flat screen tafuta pic zake za bikin utaona
Katika wachangiaji wooooote waliomwaga povu hapa wewe una akili sana,umekuja na fact na sio blah'blah
Halafu unaonekana smart na unaijua fashion, hongera.
 
Hata huyo Diamond hana sifa za kuwa na mimi,upo hapo?
Mengine blah'blah na nimezizoea tokea 2014....huna jipya.
 
sizitaki mbichi hizi
 
Hata akiweka madodoki... kitamu kinajulikana..
 
siku moja uliwahi kunikosoa juu ya matumizi sahihi ya lugha ya kiswahili...basi nikajua mwenzangu uko vizuri!!! kumbe poyoyo la kufa mtu. Mfano neno "ming'ono " linamaana gani?

Kibaya zaidi we dada unaonekana umeathiriwa sana na vigodoro vya uswazi. Unalazimisha kiki kwa kufatilia maisha ya watu.
Badilika, acha shobo...tumia muda wako kujifunza kiswahili sahihi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…