Baada ya Mchezaji maarufu wa PSG ya ufaransa Ashraf Hakim kushinda kesi dhidi ya madai ya mkewe kuomba mahakama agawiwe nusu ya mali za Mumewe na kushinda baada ya mahakama kuchukunguza na kukuta hamiliki mali zozote kutokana na mali zote zimewekwa kwa jina la Mama yake.Ashraf hakim amekuja kivingine ameiyomba mahakama imgaie nusu ya mali anazomiliki mkewe.