Sakata limechukua sura mpya, Ashraf Hakim afungua kesi ya kudai alipwe nusu ya mali ya mkewe

Sakata limechukua sura mpya, Ashraf Hakim afungua kesi ya kudai alipwe nusu ya mali ya mkewe

Hapo kavaa akili ya utoto.
Akumbuke kuna child support atakayotakiwa kumpa huyo mama na ni hatari kutengeneza mazingira ya chuki au uadui na mama wa watoto wako
Yeye amejali Child sapoort ndio maana amedai mali wagawane...Maana Hakimi kama Hakimi hana Mali yoyote sasa angetoa wapi hizo hela za Child supporrt?? So itabidi apewe nusu ya mali za mkewe halafu gharama atakazotakiwa kulipa child support zikokotolewe kutokana na hizo mali atakazogawiwa.
 
Mwanaume kushinda na Mwanamke huo ni Ujinga,
Mwanaume kushindana na Mwanamke uliyefunga nae ndoa na kuzaa nae watoto huo ni Uboya.
Anhaa...Lakini Mwanamke kushindana na Mwanaume aliyefunga nae ndoa na kuzaa nae watoto ni Haki sawa???
Maana kina Bilgets, Bezos na wemgine wamgi walishapigwa matukio ya hivi hamkusema ujinga ila mlishangilia na kusema haki sawa.
 
Vzuri kabisa 😂😂😂😂
Hyo ndo dawa ya wadangaji.
Unajua nini hiki anachofanya hakim haukutakiwa afanye kibinadamu angesamehe tu lakini kutokana ulaya kuwa na sheria zinazompa nguvu kubwa wanawake especially kwenye masuala haya ya divorce na kugawana mali kulingana na Hili imesababisha wanawake wengi wa uko ulaya watumie Huu mwanya kufanya utapeli wa ndoa ni kama kilichomtokea Mchezaji maarufu wa Zamani wa Arsenal Ebouer ambaye alifilisiwa kila kitu na mzungu mpaka nyumba walikuwa wanaishi bila hata huruma akawa masikini baada yakumkuta bahati nzuri team yake ya Zamani ikajitolea kumsaidia kiuchumi wapo Wanaume wengi wamehathirika na hizi sheria za ulaya I'm sure hiki alichofanya hakimi japo sio vizuri kurudisha ubaya kwa ubaya lakini kimetoa fundisho kubwa Sana na kinaweza kuleta mabadiliko kwa kiasi kubwa mno.
nguvu To yeye
Dr. Mariposa
Msanii
Mshana Jr
Numbisa
 
Asitafute sifa na yeye, huyo Dada si wamezaa tena Watoto wawili, anashindwa nini kulet go na kuangalia malezi ya watoto
Yeye alishindwa nini ku let go alivyotibuana na Hakimi hadi kuomba shauri la kugawana 50/50...Hebu acheni ubinafsi bana.

Ubaya mkiufanya nyie kwenu ni kama haki tu ila mkinyooshwa oh wanaume makatili.
 
Back
Top Bottom