Sakata limechukua sura mpya, Ashraf Hakim afungua kesi ya kudai alipwe nusu ya mali ya mkewe

Sakata limechukua sura mpya, Ashraf Hakim afungua kesi ya kudai alipwe nusu ya mali ya mkewe

Angeachana nae hawa wanawake wana roho mbaya japo sio ote
Hebu tulia wewe...

Pasipo kutiwa adabu ya aina hii kuna wengi wanajiandaa kuwaumiza wanaume wengi tu, hii inaenda kujenga mfumo mpya wa maisha ya wapigaji.

So watakuwa wanachungulia kwanza, hii sindano ni ya ng'ombe ila acha apigwe nayo huyu huyu kwanza iwe funzo.
 
Hela tafuta wewe mtumishi wa umma. Unayetegemea kila mwisho wa mwezi ukadake ka laki nane kako dirishani.
FALA WEWE! leo tumewasainia mikataba ya madini kati ya nchi yenu na makampuni tajiri toka nchini Australia... tena tulikuwa ikulu DODOMA! Na Rais wenu akiwa kama msimamizi mkuu.

Hiyo laki nane nampa nampa housegirl anaeandalia chai vijana wangu kama posho kwenye hekalu langu Mikocheni.

Laki nane sadaka yako wewe ZWAZWA!
 
Nalipiza mpaka machungu ya eboue wakuu sanamu langu linajengwa wap🤣🤣🤣
 
Mwanaume kushindana na Mwanamke huo ni Ujinga,
Mwanaume kushindana na Mwanamke uliyefunga nae ndoa na kuzaa nae watoto huo ni Uboya.
Hakuna mwanamme anayetaka kushindana na mwanamke.shida inaanziaga kwa wanawake wenyewe.Mkitofautiana anaanza kukuonyesha nyodo kwasababu anajua ataneemeka kupitia wewe.Sasa sidhan kama kuna mwanaume anaweza kuvumilia nyodo zilizozidi tena kutoka kwa mwanamke ambaye unajua alitaka kukuangamiza.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Yani wanaume wa kiafrika kwenye masuala kama haya ndio wanajifanya wameukubali usawa, waambie nao wafanye kazi za ndani uone hilo timbwili, au waambie kuwa wanawake nao wanahitaji kuwa na wanaume tofauti maana hawatosheki na mwanaume mmoja usikie hayo matusi
Huo sio usawa ni wajibu.kibailojia kila jinsia ina wajibu wake.Kuna shughuli za wanaume na za wanawake.Lakini pia swala la usawa wa kijinsia mlilitaka nyie wanawake wenyewe na liko kisiasa zaidi na linawaumiza nyie wanawake wenyewe uku likinufaisha wanawake wachache kwenye nafasi za kisiasa uku wengi wakiteseka.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hii taarifa ni ya uongo, Hakimi hajafungua hiyo kesi kwa hiyo save pumzi yako,

Pia Hiba sio Slay Queen ana kazi zake zinazomuingizia kipato, kutaka mgaw





anyo wa mali ni haki yake kama Mke aliyeishi nae miaka 5 na kuzaa nae juu sababu walichuma pamoja.
Ila ww mwanamke una utindio wa ubongo unasema mke wa hakimu alikuwa ni haki yake kugawana mali za hakimu lakini huoni haki ya Hakimu kugawana mali za mkewe hali ya kuwa sheria inaruhusu?

Mmeo namuonea huruma maana na ww unaonekana ni mdangaji kama huyo mke wa Hakim.
Hata hivyo nilikuwa nimesahau ww huwezi kuwa na mme kwa sababu ni mwanachama wa upinde.
 
Ila ww mwanamke una utindio wa ubongo unasema mke wa hakimu alikuwa ni haki yake kugawana mali za hakimu lakini huoni haki ya Hakimu kugawana mali za mkewe hali ya kuwa sheria inaruhusu?

Mmeo namuonea huruma maana na ww unaonekana ni mdangaji kama huyo mke wa Hakim.
Hata hivyo nilikuwa nimesahau ww huwezi kuwa na mme kwa sababu ni mwanachama wa upinde.
Kama ulijua ni mwanachama wa upinde hilo gazeti lote la nini kama sio ukichaa, mkikosa hela mnatafuta wa kuwaletea makasiriko yenu, kwa Hakimi jimbo lipo wazi kaolewe wewe umpikie na kumfulia bure,

NB: uwe msafi tu, hapendi wanuka vibeberu
 
Back
Top Bottom