Sakata limechukua sura mpya, Ashraf Hakim afungua kesi ya kudai alipwe nusu ya mali ya mkewe

Sheria ni msumeno hukata huku na huku.

Mali za mwanaume mnataka pasu kwa pasu ila za kwenu hamtaki pasu pasu.

Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu..[emoji3][emoji3]

Huyo mwanamke anatakiwa aonje joto la Jiwe.Malezi ya watoto yapo tu baada ya kugawa MALI...[emoji3]
Hii taarifa ni ya uongo, Hakimi hajafungua hiyo kesi kwa hiyo save pumzi yako,

Pia Hiba sio Slay Queen ana kazi zake zinazomuingizia kipato, kutaka mgawanyo wa mali ni haki yake kama Mke aliyeishi nae miaka 5 na kuzaa nae juu sababu walichuma pamoja.
 
Kwa hiyo Sikweli kwamba mke wa Achraf Hakimi alitaka wa achane?
 
Hii taarifa ni ya uongo, Hakimi hajafungua hiyo kesi kwa hiyo save pumzi yako,

Pia Hiba sio Slay Queen ana kazi zake zinazomuingizia kipato, kutaka mgawanyo wa mali ni haki yake kama Mke aliyeishi nae miaka 5 na kuzaa nae juu sababu walichuma pamoja.
Wameishi miaka 2 sio 5 kama unavyosema iweje uhitaji nusu kwa nusu
 
Back
Top Bottom