Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Kwa mshahara alionao hiyo child support ni ndogo sana kuliko huo mgao wa pasu kwa pasu na mwanamke mtaka maliHapo kavaa akili ya utoto.
Akumbuke kuna child support atakayotakiwa kumpa huyo mama na ni hatari kutengeneza mazingira ya chuki au uadui na mama wa watoto wako