Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
Achana nae huyo dear wangu tusimpe airtime tena, kuna watu wazima na watu wazima hovyo, hana personal details zangu zozote zaidi tu ana anger issues probably kuna Mwanamke kama Hiba alitenda jambo akaacha kovu kwenye moyo wake,Kwa kua una personal details zake ndio maana umemuattack ili umdhalilishie wazazi wake!? Kijana kua na kiasi hii ni dunia tena ya mtandao hujui umfanyiaye ubaya leo kesho yatakurudi, na suala lake la usagaji alileta public angetaka kujificha angekaa nalo kimya kwanini iwe fimbo ya kumchapia utasema alikuomba mtaji wa biashara!
Tuwe na kiasi binaadam uungwana haulipiwi, yangu ni hayo tu uwe na usiku mwema.
Wanawake jeshi kubwa [emoji123][emoji23]