Sakata limechukua sura mpya, Ashraf Hakim afungua kesi ya kudai alipwe nusu ya mali ya mkewe

Sakata limechukua sura mpya, Ashraf Hakim afungua kesi ya kudai alipwe nusu ya mali ya mkewe

Mwanaume kushindana na Mwanamke huo ni Ujinga,
Mwanaume kushindana na Mwanamke uliyefunga nae ndoa na kuzaa nae watoto huo ni Uboya.
Nimependa Sheria zao za Ndoa, maana bongo wanalizwa wanaume wengi kwa trick hio ya wanawake, Sasa Ashraf katoa funzo kua napindua sheria za kiduanzi za ki-feminist zinazokandamiza wanaume kijingajinga sasa Mali za mwanamke pia zinagawanywe kwa mwanaume sio Mali za mwanaume tu kugawanywa kwa mwanamke alafu Mali za mwanamke hazigawanywi huo ni ujinga uliowekwa kwenye sheria za Ndoa za kijinga zinazowabeba wanawake wapigaji km mke wa Ashraf
 
Unajua nini hiki anachofanya hakim haukutakiwa afanye kibinadamu angesamehe tu lakini kutokana ulaya kuwa na sheria zinazompa nguvu kubwa wanawake especially kwenye masuala haya ya divorce na kugawana mali kulingana na Hili imesababisha wanawake wengi wa uko ulaya watumie Huu mwanya kufanya utapeli wa ndoa ni kama kilichomtokea Mchezaji maarufu wa Zamani wa Arsenal Ebouer ambaye alifilisiwa kila kitu na mzungu mpaka nyumba walikuwa wanaishi bila hata huruma akawa masikini baada yakumkuta bahati nzuri team yake ya Zamani ikajitolea kumsaidia kiuchumi wapo Wanaume wengi wamehathirika na hizi sheria za ulaya I'm sure hiki alichofanya hakimi japo sio vizuri kurudisha ubaya kwa ubaya lakini kimetoa fundisho kubwa Sana na kinaweza kuleta mabadiliko kwa kiasi kubwa mno.
nguvu To yeye
Dr. Mariposa
Msanii
Mshana Jr
Numbisa
Umepiga kwenye mshono ila Kuna watu Bado hawaelewi kwamba mkuki kwa nguruwe Kwa binadamu mchungu
 
Mwanaume kushindana na Mwanamke huo ni Ujinga,
Mwanaume kushindana na Mwanamke uliyefunga nae ndoa na kuzaa nae watoto huo ni Uboya.
 
Unatia hasira sana basi tu. Uchizi umfanyie mwingine tuuone sio uchizi, ufanyiwe wewe ndo uwe uchizi. Nyie malaya tutaendelea kuwatomber na mali hamnusi, tushastukia michezo Kwa nini asitake mali ziwe kwa watoto azitake yeye mwenyewe?
Noma sana kutomber tu kwa kwenda mbele na Mali hawanusi, tunahamishia kwa bi mkubwa
 
IMG-20230415-WA0153.jpg
 
Back
Top Bottom