CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Huyu juma lokole anahangaika sana na SimbaYani ww bwa mdogo utakua unalala na kuiota simba aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu juma lokole anahangaika sana na SimbaYani ww bwa mdogo utakua unalala na kuiota simba aisee
Umbea ndiyo fani yakoKuna mpasuko mkubwa sana ndani ya klabu ya watani zangu, ila kwa bahati mbaya wengi hawafahamu kwa sababu mpasuko huo umewekwa siri kwa manufaa ya klabu.
Chanzo kimeanzia kwa Barbra Gonzalenz.
Namna ha uendeshwaji wa klabu wa huyu binti unawakwanza sana wenye simba yao. Yes namaanisha wenye simba yao, yaani lile kundi maalumu ambalo hunufaika pakubwa sana na klabu kifedha.
Kundi hilo hawataki kabisa kumuona huyu binti akifanya maamuzi makuu kuanzia msimu ujao.
Wanataka wao ndio waishikilie shoo nzima ya uendeshaji wa klabu. Mo amekwisha poke mapendekezo kutoka kwa kundi hilo. Mapendekezo hayo yamemkwaza sana Mo kiasi kwamba amefanya kama kuipotezea klabu kwenye gharama za usajili za msimu huu. Si mnajua mambo ya Mo ya kususa susa!
Lile kundi bhana ndio wakujita “ marafiki wa simba”.
Hawa jamaa ndio waliotaka kufanya madam ajiuzulu kipindi kile alichotaka kuitisha press. Ni hekima tu ya mmoja wao bwana jaribu tena kumrudisha ili waje kumuondoa kiujanja janja hapo baadae.
Hili kundi linafahamu kuwa boss kawasusia majukumu na anataka kubembelezwa na aombwe msamaha. Marafiki wamegoma kumlamba nyayo muhindi.
Wakaona wajiongeze kusaini mkataba wa M-BET mapema ili kupata pesa za kuendesha klabu lengo kumuonyesha Mo kuwa hata akisusa basi linaweza safiri kwa umbali mrefu.
Jamaa hao hao wakaona wampigie simu adui mkuu wa boss bwana Kigwanomics ili aongeze nguvu kiuchumi kama ikiwezekana. Kigwa akakubari baada ya kupewa simulizi nzima ya kinachoendelea.
Kigwa hatogharamia usajili wa wachezaji ila sasa atakuwa beneti na “marafiki wa Simba” ili kulisukuma basi.
Nitakuwa nikitoa update ya kinachoendelea. Stay tuned.
“WATANI ZANGU JIANDAENI, LESO HAZITOTOSHA BALI TAULO LITAFAA KUFUTA MACHOZI.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umbea ndiyo fani yakoView attachment 2297874
Kweli yametimia leoKuna mpasuko mkubwa sana ndani ya klabu ya watani zangu, ila kwa bahati mbaya wengi hawafahamu kwa sababu mpasuko huo umewekwa siri kwa manufaa ya klabu.
Chanzo kimeanzia kwa Barbra Gonzalenz.
Namna ha uendeshwaji wa klabu wa huyu binti unawakwanza sana wenye simba yao. Yes namaanisha wenye simba yao, yaani lile kundi maalumu ambalo hunufaika pakubwa sana na klabu kifedha.
Kundi hilo hawataki kabisa kumuona huyu binti akifanya maamuzi makuu kuanzia msimu ujao.
Wanataka wao ndio waishikilie shoo nzima ya uendeshaji wa klabu. Mo amekwisha poke mapendekezo kutoka kwa kundi hilo. Mapendekezo hayo yamemkwaza sana Mo kiasi kwamba amefanya kama kuipotezea klabu kwenye gharama za usajili za msimu huu. Si mnajua mambo ya Mo ya kususa susa!
Lile kundi bhana ndio wakujita “ marafiki wa simba”.
Hawa jamaa ndio waliotaka kufanya madam ajiuzulu kipindi kile alichotaka kuitisha press. Ni hekima tu ya mmoja wao bwana jaribu tena kumrudisha ili waje kumuondoa kiujanja janja hapo baadae.
Hili kundi linafahamu kuwa boss kawasusia majukumu na anataka kubembelezwa na aombwe msamaha. Marafiki wamegoma kumlamba nyayo muhindi.
Wakaona wajiongeze kusaini mkataba wa M-BET mapema ili kupata pesa za kuendesha klabu lengo kumuonyesha Mo kuwa hata akisusa basi linaweza safiri kwa umbali mrefu.
Jamaa hao hao wakaona wampigie simu adui mkuu wa boss bwana Kigwanomics ili aongeze nguvu kiuchumi kama ikiwezekana. Kigwa akakubari baada ya kupewa simulizi nzima ya kinachoendelea.
Kigwa hatogharamia usajili wa wachezaji ila sasa atakuwa beneti na “marafiki wa Simba” ili kulisukuma basi.
Nitakuwa nikitoa update ya kinachoendelea. Stay tuned.
“WATANI ZANGU JIANDAENI, LESO HAZITOTOSHA BALI TAULO LITAFAA KUFUTA MACHOZI.
Mwanangu Hebu hupendi amani kabisa.NIMEIBUA HUU UZI
Sipendi mikia ipataneMwanangu Hebu hupendi amani kabisa.
Uko sahihi jamaa bado wanaitamani simba scKuna mpasuko mkubwa sana ndani ya klabu ya watani zangu, ila kwa bahati mbaya wengi hawafahamu kwa sababu mpasuko huo umewekwa siri kwa manufaa ya klabu.
Chanzo kimeanzia kwa Barbra Gonzalenz.
Namna ha uendeshwaji wa klabu wa huyu binti unawakwanza sana wenye simba yao. Yes namaanisha wenye simba yao, yaani lile kundi maalumu ambalo hunufaika pakubwa sana na klabu kifedha.
Kundi hilo hawataki kabisa kumuona huyu binti akifanya maamuzi makuu kuanzia msimu ujao.
Wanataka wao ndio waishikilie shoo nzima ya uendeshaji wa klabu. Mo amekwisha poke mapendekezo kutoka kwa kundi hilo. Mapendekezo hayo yamemkwaza sana Mo kiasi kwamba amefanya kama kuipotezea klabu kwenye gharama za usajili za msimu huu. Si mnajua mambo ya Mo ya kususa susa!
Lile kundi bhana ndio wakujita “ marafiki wa simba”.
Hawa jamaa ndio waliotaka kufanya madam ajiuzulu kipindi kile alichotaka kuitisha press. Ni hekima tu ya mmoja wao bwana jaribu tena kumrudisha ili waje kumuondoa kiujanja janja hapo baadae.
Hili kundi linafahamu kuwa boss kawasusia majukumu na anataka kubembelezwa na aombwe msamaha. Marafiki wamegoma kumlamba nyayo muhindi.
Wakaona wajiongeze kusaini mkataba wa M-BET mapema ili kupata pesa za kuendesha klabu lengo kumuonyesha Mo kuwa hata akisusa basi linaweza safiri kwa umbali mrefu.
Jamaa hao hao wakaona wampigie simu adui mkuu wa boss bwana Kigwanomics ili aongeze nguvu kiuchumi kama ikiwezekana. Kigwa akakubari baada ya kupewa simulizi nzima ya kinachoendelea.
Kigwa hatogharamia usajili wa wachezaji ila sasa atakuwa beneti na “marafiki wa Simba” ili kulisukuma basi.
Nitakuwa nikitoa update ya kinachoendelea. Stay tuned.
“WATANI ZANGU JIANDAENI, LESO HAZITOTOSHA BALI TAULO LITAFAA KUFUTA MACHOZI.
Tuko pamojaUkiachana na Uyanga wangu.
Pale Simba nina washkaji wengi sana waliopo ndani ya Club Board.
Nje ya hapa mimi ni mtu wa watu.