SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Na wewe ni mama mtu mzima uliyeshindikana kwa mumeoVijana wa humu wengi ni WAHUNI walio shindikana na familia zao.[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe ni mama mtu mzima uliyeshindikana kwa mumeoVijana wa humu wengi ni WAHUNI walio shindikana na familia zao.[emoji23][emoji23]
Huko Yanga kuna chuo cha kuzalisha wajinga na mleta uzi huu ni mhitimu wa chuo hicho hapa ndiyo anaonyesha umahiri wa kile alichohitimu. Kutwa moja anaanizisha nyuzi zaidi ya 20 kuikandia Simba kwa kutumia rejea za vijiwe vya umbea.Tatizo elimu yako ni ndogo jinsi unavyowasilisha upuuzi wako haitajiki elimu yeyote kujua wewe hata elimu ya secondary huna au ulizungusha zero hakika na kama ulipata zaidi ya hio nipo radhi niweke pesa popote.
Hujui kuwa CEO hawezi kufanya chochote bila maagizo ya bodi ya wakurugenzi!!huwezi kuelewa hili kwasababu ya upeo wako na elimu yako ndogo, na maamuzi ya vikao vya bodi ndio maelekezo kwenda kwa CEO, sasa wewe kuandika kuwa eti wajumbe hawakubaliani nae ni ujinga tu na porojo zako.
Mkataba na sportpesa uliisha na kampuni mbalimbali zimejitokeza kuomba,yeye CEO jukumu lake ni kupeleka waombaji wote kwenye board,board inaunda kamati kupitia mapendekezo yote, inachagua kampuni iliyoleta ofa nzuri kwa vigezo na mashart, kisha CEO anapewa greenlight kusaini contract.
Sasa wewe ulivyo mjinga unashindwa kutofautisha mwekezaji na mdhamini hakuna mwekezaji anaekataa udhamini wowote mzuri wenye pesa nono ndio lengo la muekezaji ndio faida zenyewe hizo,ila kwakuwa wabongo wengi mna elimu za kata hamuezi kuelewa hilo.
Unafungua nyuzi kila dakika mtu akisoma tu anajua ili popoma tu, kuna mwanazuoni mmoja alisema duniani watu wa kuogopwa ni wajinga maana ndio wengi, sasa wewe umedhihilisha hivyo,ujinga mzigo wa mavi.
Naona anamsifia sana H. Manara siku za hivi karibuniRicardo Momo wacha hizo wewe,Kigwa hana mtee huo yeye ana hela ya kujikimu mwenyewe na familia yake tu, unafikiri kuendesha club kama Simba au Yanga ni sawa na kulima mpunga?
Kigwangwala anajisogeza kwa Haji Manara ili aweze kumfikia Ghalib ampige mzinga tu,kigwa ni snitch sana.
Hiki ndo kinachonifanya niwaone mashabiki wa hizi timu 2 za Kariakoo kama wahuni tu. Wakati Yanga inatambulisha wachezaji walikuja Simba na ujinga mwingi mpaka wa kukosoa majina ya wachezaji.
Kabla hilo halijapoa Simba walipoanza kutangaza usajili Yanga wakajibu na upuuzi mwingi mara Mnigeria wa Chumbageni mara mchezaji kashusha daraja timu 3!
Yaani ni vurugu utadhani watoto wa mitaani. Mwisho nikashangaa Wasemaji wa vilabu nao wakawa na mawazo ya jikoni kuponda usajili wa wenzao.
MO kasusaa...BABRA anawaburuza...KIGWANGALA anataka kulipa kisasi cha kunyimwa mkopo... Mashabiki wanaambiwa MBET mdhamini mpya bila kusema thamani ya mkataba waafrika bhana 😀 😀 😀 suala la mdhamin kutokuweka hela taslim ni uhuniii kama wa MO tu
Nafahamu.Unafahamu kwanini kambi ya Simba SC haikuwekwa MAREKANI?
Badala yake wameipeleka Misri?
Huyu uto dawa yake ni kumtoa utumbo tu, hapa hata akiruka ruka nitamdungia sindano huko atakaporukia, wamezoea kuleta umbea huku halafu wanajidai wako jikoni, wana marafiki ndani ya Simba, kumbe wako uswahilini huko wanajitungia tu!Umeulizwa ulete ushahidi unaotetea hoja yako kuwa MO hausiki tena na Simba Sc kwakuleta taarifa za nani aliyekusika na usajili huu wa Simba Sc, wewe unarukia mada nyingine.
Mnapoamua kujadili hoja (hasa kwa maandshi) jaribuni kuwa systematic na sio kuzijadili kiumbea-mbea, Dr. Kumbuka ni vyema ukajirekebisha katika hilo.
Wachezaji wenyewe waliowaleta wote free agent aziz ki mpaka leo anawasumbua na anajuta kuikacha simba wamemuahidi vitu ambavyo ni ngumu kumtumizia ili asi sign simba sasa kazi wa nayo maana kila siku anakuja ila hafiki.Unawashwa sana na mambo ya Simba,,kama kweli Kuna migogoro Simba basi we kama utopolo ndo inabidi ufurahie sasa sio ujifanye unaishauri klabu bora kabisaa Tanzania
Sasa umesikia barbra ni wa 82? Yule ni wa 70 something.Inaonekana baba yako aliwapata akiwa na miaka 35.
Nilizaa mtoto wa kwanza nikiwa na miaka 18 mwaka 1982.
Huyu wa kwenye avatar ni wa tatu kuzaliwa.
MO kasusaa...BABRA anawaburuza...KIGWANGALA anataka kulipa kisasi cha kunyimwa mkopo... Mashabiki wanaambiwa MBET mdhamini mpya bila kusema thamani ya mkataba waafrika bhana 😀 😀 😀 suala la mdhamin kutokuweka hela taslim ni uhuniii kama wa MO tu
huna kili au hujamsikia kingwa kaongea nini ..afu kuhusu huo mkataba mbona toka mwakajana tunalijua sisi wanasimba unaongea uharo tuKuna mpasuko mkubwa sana ndani ya klabu ya watani zangu, ila kwa bahati mbaya wengi hawafahamu kwa sababu mpasuko huo umewekwa siri kwa manufaa ya klabu.
Chanzo kimeanzia kwa Barbra Gonzalenz.
Namna ha uendeshwaji wa klabu wa huyu binti unawakwanza sana wenye simba yao. Yes namaanisha wenye simba yao, yaani lile kundi maalumu ambalo hunufaika pakubwa sana na klabu kifedha.
Kundi hilo hawataki kabisa kumuona huyu binti akifanya maamuzi makuu kuanzia msimu ujao.
Wanataka wao ndio waishikilie shoo nzima ya uendeshaji wa klabu. Mo amekwisha poke mapendekezo kutoka kwa kundi hilo. Mapendekezo hayo yamemkwaza sana Mo kiasi kwamba amefanya kama kuipotezea klabu kwenye gharama za usajili za msimu huu. Si mnajua mambo ya Mo ya kususa susa!
Lile kundi bhana ndio wakujita “ marafiki wa simba”.
Hawa jamaa ndio waliotaka kufanya madam ajiuzulu kipindi kile alichotaka kuitisha press. Ni hekima tu ya mmoja wao bwana jaribu tena kumrudisha ili waje kumuondoa kiujanja janja hapo baadae.
Hili kundi linafahamu kuwa boss kawasusia majukumu na anataka kubembelezwa na aombwe msamaha. Marafiki wamegoma kumlamba nyayo muhindi.
Wakaona wajiongeze kusaini mkataba wa M-BET mapema ili kupata pesa za kuendesha klabu lengo kumuonyesha Mo kuwa hata akisusa basi linaweza safiri kwa umbali mrefu.
Jamaa hao hao wakaona wampigie simu adui mkuu wa boss bwana Kigwanomics ili aongeze nguvu kiuchumi kama ikiwezekana. Kigwa akakubari baada ya kupewa simulizi nzima ya kinacho endelea.
Kigwa hatogharamia usajili wa wachezaji ila sasa atakuwa beneti na “marafiki wa simba” ili kulisukuma basi.
Nitakuwa nikitoa update ya kinacho endelea. Stay tuned.
“WATANI ZANGU JIANDAENI, LESO HAZITOTOSHA BALI TAULO LITAFAA KUFUTA MACHOZI.