Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama unasema mpasuko umewekwa siri kwa manufaa ya klabu wewe unayeyaleta huku kwa hiyo hutaki hayo manufaa ya klabu?
Kigwa ana hela gani? Kiuhalisia babra anafaa sana hapo Simba leo na hata kesho.
Yaani hawakuamini? achana nao mashabiki maandazi hao..team isiposhuka daraja msimuu huu itakuwa maaajabu.. umeona wenzao yanga walivyosajili majembe ya nguvu tena kwa kuvunja benki siyo free transfers? utalinganisha na ushuzi waliosajili simba?Kuwekwa Siri ni miongoni kwa board member.
Wachache ni waaminifu.
Ila walio wengi mule mule ndani ni waropokaji haswa pale matumbo yao yakiwa yamejaa Castle Light.
Story za vijiweni[emoji23]Mbona umeelezea machache sana...pia barabra anatoa siri kwa injinia wa yanga...Cham ahajalipwa milions 300 alizojikomboa nazo Berkane hadi sasa kasusa kuna siku alienda ofisini kwa Mo akafanya fujo..team inadaiwa na wachezaji hakuna amani kabisa ....yaani Bagalile kigwangwala ndiye kaingia kuokoa jahazi kwa sasa ndiye mfadhili wa team kuanzia leo
Mbona umeelezea machache sana...pia barabra anatoa siri kwa injinia wa yanga...Cham ahajalipwa milions 300 alizojikomboa nazo Berkane hadi sasa kasusa kuna siku alienda ofisini kwa Mo akafanya fujo..team inadaiwa na wachezaji hakuna amani kabisa ....yaani Bagalile kigwangwala ndiye kaingia kuokoa jahazi kwa sasa ndiye mfadhili wa team kuanzia leo
Wakijiweka mbele kwenye mambo ya Simba sc mnasema matajiri hawatakiwi kushinda mitandaoni, haya sasahivi wamekaa kimya mnaanza kuulizana tena.
Kinachowasumbua wengi wenu ni ukapuku na ugumu wa maisha mnayopitia huko mitaani kwenu.
Tena umempatia haswaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Washikaji wa wapi wewe juma lokole[emoji23].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kigwa yupi? Huyu wa mkopo wa mapiki piki? Ndo anawatuma mumzungumzie huku? Poleeeeeni.Mbona umeelezea machache sana...pia barbra anatoa siri kwa injinia wa yanga...Chama hajalipwa milions 300 alizojikomboa nazo Berkane hadi sasa kasusa kuna siku alienda ofisini kwa Mo akafanya fujo..team inadaiwa na wachezaji hakuna amani kabisa ....yaani Bagalile kigwangwala ndiye kaingia kuokoa jahazi kwa sasa ndiye mfadhili wa team kuanzia leo
Kwamba kuna mgogoro Simba hilo halina ubishi. Lakini wakijidanganya kumwamini Kigwangala watakuwa wameuza timu. Yule ni tapeli anayetaka kuitumia Simba kujijenga kisiasa. Kwenye Siasa kwenyewe alibebwa tu na ugomvi wa Lowasa na Kikwete ambaye alitaka kumkomoa Bashe asiwe mbunge baada ya kumshinda Seleli kwenye kura za maoni kwa vile Bashe alikuwa Chawa wa Lowasa.
yapo baadye pia nitaongezea nyingine za ndanindaniNisiseme uongo haya unayotamka sina taarifa nayo.
Nipe muda kuwezakuyafuatilia nitakupa mrejesho kamili mkuu.
Kumbe wee ni mweupee hivi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani hawakuamini? achana nao mashabiki maandazi hao..team isiposhuka daraja msimuu huu itakuwa maaajabu.. umeona wenzao yanga walivyosajili majembe ya nguvu tena kwa kuvunja benki siyo free transfers? utalinganisha na ushuzi waliosajili simba?
Aina ya ushabiki wa Tanzania ndo huuUnawashwa sana na mambo ya Simba,,kama kweli Kuna migogoro Simba basi we kama utopolo ndo inabidi ufurahie sasa sio ujifanye unaishauri klabu bora kabisaa Tanzania
Hapo ndo taarifa zao unazijua. Huku kwa soka waachie wengine.Konde
Kajala
Ndio wakina nani?