Sakata linaloendelea ndani ya Simba SC liko hivi...

Sakata linaloendelea ndani ya Simba SC liko hivi...

Mo ndie alitoa pesa za usajili ndani ya Simba SC kabla hajasafiri kwenda Sudan wakati ule, kama unabisha, basi tuambie pesa za usajili Simba this time zimetoka wapi utupe na ushahidi.

Huu utoto wenu wa kujidai mna vyanzo vyenu ndani ya Simba SC sijui mtauacha lini.
 
Wakijiweka mbele kwenye mambo ya Simba sc mnasema matajiri hawatakiwi kushinda mitandaoni, haya sasahivi wamekaa kimya mnaanza kuulizana tena.

Kinachowasumbua wengi wenu ni ukapuku na ugumu wa maisha mnayopitia huko mitaani kwenu.
Utopolo wanateseka sana, ile sindano ya Okrah waliyodungwa jana bado inawatoa damu.
 
Kuna mpasuko mkubwa sana ndani ya klabu ya watani zangu, ila kwa bahati mbaya wengi hawafahamu kwa sababu mpasuko huo umewekwa siri kwa manufaa ya klabu.

Chanzo kimeanzia kwa Barbra Gonzalenz.

Namna ha uendeshwaji wa klabu wa huyu binti unawakwanza sana wenye simba yao. Yes namaanisha wenye simba yao, yaani lile kundi maalumu ambalo hunufaika pakubwa sana na klabu kifedha.

Kundi hilo hawataki kabisa kumuona huyu binti akifanya maamuzi makuu kuanzia msimu ujao.

Wanataka wao ndio waishikilie shoo nzima ya uendeshaji wa klabu. Mo amekwisha poke mapendekezo kutoka kwa kundi hilo. Mapendekezo hayo yamemkwaza sana Mo kiasi kwamba amefanya kama kuipotezea klabu kwenye gharama za usajili za msimu huu. Si mnajua mambo ya Mo ya kususa susa!

Lile kundi bhana ndio wakujita “ marafiki wa simba”.

Hawa jamaa ndio waliotaka kufanya madam ajiuzulu kipindi kile alichotaka kuitisha press. Ni hekima tu ya mmoja wao bwana jaribu tena kumrudisha ili waje kumuondoa kiujanja janja hapo baadae.

Hili kundi linafahamu kuwa boss kawasusia majukumu na anataka kubembelezwa na aombwe msamaha. Marafiki wamegoma kumlamba nyayo muhindi.

Wakaona wajiongeze kusaini mkataba wa M-BET mapema ili kupata pesa za kuendesha klabu lengo kumuonyesha Mo kuwa hata akisusa basi linaweza safiri kwa umbali mrefu.

Jamaa hao hao wakaona wampigie simu adui mkuu wa boss bwana Kigwanomics ili aongeze nguvu kiuchumi kama ikiwezekana. Kigwa akakubari baada ya kupewa simulizi nzima ya kinacho endelea.

Kigwa hatogharamia usajili wa wachezaji ila sasa atakuwa beneti na “marafiki wa simba” ili kulisukuma basi.

Nitakuwa nikitoa update ya kinacho endelea. Stay tuned.

“WATANI ZANGU JIANDAENI, LESO HAZITOTOSHA BALI TAULO LITAFAA KUFUTA MACHOZI.
Wewe Ni Kenge the.

Mkataba na sport pesa umeisha ulitaka babako awe mdhamini.Tiktok,sport pesa,Vodacom wote walikuwa ktk mazungumzo y na Simba,Mbet kasema hela ya maana akawa mdhamini mkuu.sasa hivi mnaleta uhuni wenu humu.

Hata Yanga wanaangalia pia wamchukue mdhamini yupi,Ni maslahi yanaangaliwa.

Inaonyesha Kuna watu mlikuwa na kampuni zenu mfukoni Sasa mmefeli.

Mtahangaika Sana kunguru nyie. Mirija ya upigani imezibwa, mnahaha. Madume mazima na ndevu zenu mpaka maka*ion mnahaha na mtoto wa kike. Barbara amewashika pabaya shenzi nyie.

Kimsingi huna kipya.

Km ww Ni Utopolo nenda ukamlipe Aziz Ki hela za usajili , na mshahara wake nasikia umewashinda, kazi kushindana na Simba bila mipango. Ki anataka milioni 35 na hizo hela hazipo au utopolo hawana uchumi huo.
 
Mbona umeelezea machache sana...pia barbra anatoa siri kwa injinia wa yanga...Chama hajalipwa milions 300 alizojikomboa nazo Berkane hadi sasa kasusa kuna siku alienda ofisini kwa Mo akafanya fujo..team inadaiwa na wachezaji hakuna amani kabisa ....yaani Bagalile kigwangwala ndiye kaingia kuokoa jahazi kwa sasa ndiye mfadhili wa team kuanzia leo
Huyo Kigwa aliyeomba mkopo wa bodaboda au mwingine?
 
Mo ndie alitoa pesa za usajili ndani ya Simba SC kabla hajasafiri kwenda Sudan wakati ule, kama unabisha, basi tuambie pesa za usajili Simba this time zimetoka wapi utupe na ushahidi.

Huu utoto wenu wa kujidai mna vyanzo vyenu ndani ya Simba SC sijui mtauacha lini.

Unafahamu kwanini kambi ya Simba SC haikuwekwa MAREKANI?

Badala yake wameipeleka Misri?
 
Sasa kama hashindi mitandaoni wewe outsider unaeshinda mitandaoni unawezaje kujua habari zake na status yake yake ya kifedha, au wewe ni mke wake?

Nina shinda vijiweni na hao viongozi wenu mlio wapigia kura kwenye mkutano mkuu wa klabu.
 
Unafahamu kwanini kambi ya Simba SC haikuwekwa MAREKANI?

Badala yake wameipeleka Misri?
Umeulizwa ulete ushahidi unaotetea hoja yako kuwa MO hausiki tena na Simba Sc kwakuleta taarifa za nani aliyekusika na usajili huu wa Simba Sc, wewe unarukia mada nyingine.

Mnapoamua kujadili hoja (hasa kwa maandshi) jaribuni kuwa systematic na sio kuzijadili kiumbea-mbea, Dr. Kumbuka ni vyema ukajirekebisha katika hilo.
 
Wewe Ni Kenge the.

Mkataba na sport pesa umeisha ulitaka babako awe mdhamini.Tiktok,sport pesa,Vodacom wote walikuwa ktk mazungumzo y na Simba,Mbet kasema hela ya maana akawa mdhamini mkuu.sasa hivi mnaleta uhuni wenu humu.

Hata Yanga wanaangalia pia wamchukue mdhamini yupi,Ni maslahi yanaangaliwa.

Inaonyesha Kuna watu mlikuwa na kampuni zenu mfukoni Sasa mmefeli.

Mtahangaika Sana kunguru nyie. Mirija ya upigani imezibwa, mnahaha. Madume mazima na ndevu zenu mpaka maka*ion mnahaha na mtoto wa kike. Barbara amewashika pabaya shenzi nyie.

Kimsingi huna kipya.

Km ww Ni Utopolo nenda ukamlipe Aziz Ki hela za usajili , na mshahara wake nasikia umewashinda, kazi kushindana na Simba bila mipango. Ki anataka milioni 35 na hizo hela hazipo au utopolo hawana uchumi huo.

POVU lote hili unazungumza masuala ya Udhamini.

Tunazungumza vuguvugu lililopo ndani ha Klabu.

Hatujadiri masuala madogo madogo.
 
Tena umempatia haswaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hana lolote mambo ya soka hayawezi, yeye abakie kuwazungumzia konde na kajala.
Fala mmoja tu muoga mikorogo (kapuku), anakuja kutaka kuwachota watu kuwa ana urafiki na watu bodi ya wakurugenzi wa Simba Sc.

Hivi seriousily mtu mwenye wadhifa wake anaweza kuwa na potential friendship na kichwa cha namna hii? Kichwa ambacho kinaonekana ni kibovu tu hata kupitia maandishi yake.
 
Back
Top Bottom