Sakata mafuta ya kula: Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza bandarini na kukagua matanki ya mafuta

Sakata mafuta ya kula: Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza bandarini na kukagua matanki ya mafuta

Kazi za mawaziri hizo, anaenda Mh Rais, mimi bado nina wasiwasi na watendaji wa hii awamu, sijui kama wanamuelewa Rais. Kwa jinsi ambavyo Rais amekuwa akifuatilia mambo kwa kwenda sehemu husika, nilitegemea kwa kipindi tu hiki cha miaka miwili basi makatibu wakuu, mawaziri wangekuwa wanafuatilia sana mambo haya, lakini toka sakata hili limeanza si waziri wa viwanda, fedha au uchukuzi kuwaona wapo mstari wa mbele kufuatilia hili jambo, sasa leo katoka Rais mwenyewe, na kitu kinarushwa live, jamaani huyu Rais mtaazeesha kwa kufanya kila kazi peke yake!!
kwa staili hii huyu rais ana kazi sana
 
cheap public stunt.
create the problem, then come back in and offer the solution that the people demand.
Acha chuki binafsi kwa Rais. Hiyo kodi ya 15% (25-10) ilikuwa inapotea! Loh! Be patriotic even if you dont like the man.
 
naona hapa bagamoyo, mafuta ya magendo kutoka Zanzibar, bomba limeachiwa, wanaingiza na polisi wanaangalia, this coutry looh.
 
Back
Top Bottom