Kwani kebehi iko wapi hapo? Asiyetaka kukosolewa aende akakae kwake akapige story na FaizaFoxy na thebossWewe kosoa hata masaa 24 ila kuwa na heshima kwa viongozi acha kebehi na dharau kwa viongozi wa nchi. Hakuna shida kukosoa lakini ukileta dharau na kebehi unatuma message gani kwa watu kwamba wadharau mamlaka? amani ya nchi muhimu kuliko maslahi ya chama au mtu binafsi ila kuambiana tuambiane hakuna shida, chungeni lugha za maudhi na dharau.
Kwa hiyo asikosoe kwakuwa hakukosoa?Alikosoa nini kipindi cha Magufuli?
Uroho mbaya hata wewe unaweza kuwahishwa na Mungu. Mungu huwaisha wenye roho mbaya wakati mwingine. Chunga sana Ulimi wako kiongozi.Nyinyi mshukuru sana Mungu alimchukua JPM mapema angewarudisha kwenye mapango mlikotoka. Mama katukosea sana na huruma zake. Ingepita operation moja kabambe ndio mngeshika adabu mbwa nyie.
Ili tuendelee kuwa wajinga?Tuwe wavumilivu jamani
Walichaguliwa kwa Election?au waliwekwa?Mimi sina shida na wewe lakini tukitaka twende vizuri na kujenga hoja ni vizuri. Nchi hii hatuwezi kukubaliana hata siku moja 100% lazima tutakuwa na maoni tofauti. Sawa na mpira tunatizama game moja pamoja lakini tukitoka tukianza kuongea ni kama tulikuwa tunatizama game tofauti lakini mshindi anakuwa na hoja zaidi. Kwenye siasa ya vyama vingi lazima tutakuwa na maono tofauti ndio maana ya democracy. CCM wana mandate ya kuamua kwa niaba yetu sababu walishinda uchaguzi na ili kushinda uchaguzi walikuwa na sera zao watu wakawachagua. Ni haki yao ku deliver walichoahidi. Wakishindwa uchaguzi ujao wapigeni chini simple.
Sasa hayo mengine ila kitu kimoja tu CCM wana watu pia hilo halina ubishi.Walichaguliwa kwa Election?au waliwekwa?
Wala sichungi nimesema wazi kama unavyojitapa nyinyi kuwa mnasema wazi. JPM Mungu angempa umri mrefu tu mlishaanza kuwa na adabu.Uroho mbaya hata wewe unaweza kuwahishwa na Mungu. Mungu huwaisha wenye roho mbaya wakati mwingine. Chunga sana Ulimi wako kiongozi.
Nimeshasema kosa kubwa nyinyi Rais Samia kuwaachia na kuwa mpole alitakiwa mtu kama JPM mliuvyata mikia wote hakuna hata mbwa mmoja aliyetoka hadharani kuandamana. Yule mguu mbovu akakimbia kabisa nchi, yule muuza Bangi Arusha alikimbia kama mwizi mpakani, mwenyekiti wenu ndani kumetmbelea tu jela mlikuwa manogopa kama JPM atawashughulikia. Mlikuwa mna nini? Sugu alisema rais wa Mbeya wekwa ndani hakuna hata mtu mmoja aliyetoka barabarani. Mama Samia kaja kawaonea huruma tokeni lakini sasa mnaanza kukosa adabu lakini mnaijuwa CCM wakilitaka jambo...
Ndio maana wanaiba kodi zetu kwa sababu wanajua hawatahojiwa,lakini safari watanzania sio wale wa miaka 2000 nyumaViongozi siyo Mungu!! Wasijiingize kwenye makosa makubwa kwa sababu eti ni viongozi.
Wewe unasema watu watumie lugha ya staha wakati wewe mwenyewe unatumia lugha chafu,unaita member wenzio mbwa!?ndio maana Mwabukusi anaongea lugha ambayo watawala wataielewa,na ujumbe umewafikia.Nyinyi mshukuru sana Mungu alimchukua JPM mapema angewarudisha kwenye mapango mlikotoka. Mama katukosea sana na huruma zake. Ingepita operation moja kabambe ndio mngeshika adabu mbwa nyie.
Na nani alikuwa anawatetea wale watu wa migodi? sio Lissuna nyinyi Chadema au mnajitoa ufahamu. Risasi alipata sababu nini? si aliitwa na JPM wasaliti wa nchi sababu alikuwa kutwa akiwapigania wakati JPM alikuwa anasema hapana.Magufuli hakuwahi kuuza rasilimali za nchi sanasana alipigania zirudishwe
Sababu nyinyi mtu akiongea upande wa serikali tu mnaanza matusi sasa na sisi tuanenda na lugha wanazozitaka. Mimi siandikia tena kuhusu hawa CDM. Kwa ufupi tu 2024 CCM wanabeba local election, 2025 wanachukuwa nyinyi mbaki kuunda serikalini yenu kwenye mitandao.Wewe unasema watu watumie lugha ya staha wakati wewe mwenyewe unatumia lugha chafu,unaita member wenzio mbwa!?ndio maana Mwabukusi anaongea lugha ambayo watawala wataielewa,na ujumbe umewafikia.
Mamlaka zinazopatikana kwa kupora chaguzi za nchi hizo, hizo sio mamlaka halali.Wewe kosoa hata masaa 24 ila kuwa na heshima kwa viongozi acha kebehi na dharau kwa viongozi wa nchi. Hakuna shida kukosoa lakini ukileta dharau na kebehi unatuma message gani kwa watu kwamba wadharau mamlaka? amani ya nchi muhimu kuliko maslahi ya chama au mtu binafsi ila kuambiana tuambiane hakuna shida, chungeni lugha za maudhi na dharau.
Sasa acha Mwabukusi awanyooshe hao madalali wa Bandari kwa lugha watakayoielewaSababu nyinyi mtu akiongea upande wa serikali tu mnaanza matusi sasa na sisi tuanenda na lugha wanazozitaka. Mimi siandikia tena kuhusu hawa CDM. Kwa ufupi tu 2024 CCM wanabeba local election, 2025 wanachukuwa nyinyi mbaki kuunda serikalini yenu kwenye mitandao.
Mtabeba ila sio kwa kura halali, bali kwa mbeleko ya vyombo vya dola. Uwezekano wa CCM kushinda kihalali uliisha rasmi uchaguzi wa 2005. Toka hapo wizi na kubaka mchakato wa uchaguzi ndio imebaki njia pekee ya CCM kubaki madarakani kwa shuruti.Sababu nyinyi mtu akiongea upande wa serikali tu mnaanza matusi sasa na sisi tuanenda na lugha wanazozitaka. Mimi siandikia tena kuhusu hawa CDM. Kwa ufupi tu 2024 CCM wanabeba local election, 2025 wanachukuwa nyinyi mbaki kuunda serikalini yenu kwenye mitandao.