Sakho alichukua tuzo ya goli Bora, zilipigwa kelele nyingi lakini Mayele kafanya kufuru Makolo wanazipita habari zake Kama wanaaga maiti

MVP NBC Mayele

MVP Shirikisho Mayele

MVP Azam Confed MAYELE

BEST GOAL SHIRIKISHO Mayele
 
Sakho alifunga goli kwenye mashindano yapi
 
Wakati simba anashiriki Caf confederation cup mkasema waandishi na wachambuzi wasipige kelele ni kombe la looser wakasema sawa.

Wakati sakho anachukua kiatu mkasema kiatu sio kombe la caf confederation cup ni kiatu cha mchongo sasa mnataka nini wanachi mbona mnasumbua watu tulishakubaliana kwamba Caf confederation cup ni kombe la looser.
 
Kwani Mayele anachezea Simba tumpaishe humu? Iyo si kazi yenu wanautopolo ila kama umeumia hivi kwa kijana mdogo kama sakho kuchukua kiatu kwa goli la hatua ya makundi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utopoloo wamevurugwaaa mnooo, tuwasameheee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] CAFCL? Ngassa mwaka gani?
 
BICHWA KUBWA AKILI HAKUNA.
 
Mayele anaenda kuchukua kiatu cha dhahabu kwa ufungaji bora wa aina moja ya mashindano

Sakho alichukua kiatu cha dhahabu kwa goli bora kwa mashindano yote ya Africa

Kwa hiyo hapo kuna utofauti mkubwa sana
 
Kama hamjui kuwa brand players wenu sisi tuwasaidiaje???ulitaka tumzungumzie mayele kwan hatuna kazi za kufanya..sijui unaandika huku unakunya boya wewe thread zisizo na maarifa ya uandishi jinga kabisa wewe shenz type
 
Mayele anaenda kuchukua kiatu cha dhahabu kwa ufungaji bora wa aina moja ya mashindano

Sakho alichukua kiatu cha dhahabu kwa goli bora kwa mashindano yote ya Africa

Kwa hiyo hapo kuna utofauti mkubwa sana
hapo ndo umeandika nini mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…