Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
MVP NBC MayeleFiston kalala Mayele wanayanga hatuna tunachomdai.
Laiti Kama Mayele angekuwa ukoloni saivi wangemjengea sanamu pale Msimbazi Kama Pape Osumane Sakho na kigoli chake Cha kubahatisha ulikuwa ni wimbo wa taifa mithiri ya mgumba aliyepata ujauzito mate njia njia.
Mfungaji Bora Nbcpl(Mayele)
Mfungaji Bora shirikisho CAF. (Mayele)
View attachment 2640722
MVP Shirikisho Mayele
MVP Azam Confed MAYELE
BEST GOAL SHIRIKISHO Mayele