Sakho alichukua tuzo ya goli Bora, zilipigwa kelele nyingi lakini Mayele kafanya kufuru Makolo wanazipita habari zake Kama wanaaga maiti

Sakho alichukua tuzo ya goli Bora, zilipigwa kelele nyingi lakini Mayele kafanya kufuru Makolo wanazipita habari zake Kama wanaaga maiti

Hata picha enyewee sijaonaa, mie nimeandikaa tyuuh.
Huo mwaka kulikuwa na watu zaidi ya watatu ambao wamefunga mabao sawa.

Na huyo Ngassa alikuwa akitajwa anawekwa wa mwisho kwasababu alizidiwa vitu vingi kama assist na kuhusika kwenye mabao mengi.

Kwa hiyo kuja kusema Ngassa alikuwa top score ni maana unawapunguzia magoli wale wachezaji wengine waonekane walikuwa chini yake.
 
Na si ndo hayo mabao aliifunga team 1, nyumban na ugenini ktk hatua ya awali??
 
Kwani Mayele anachezea Simba tumpaishe humu? Iyo si kazi yenu wanautopolo ila kama umeumia hivi kwa kijana mdogo kama sakho kuchukua kiatu kwa goli la hatua ya makundi
Sema kombe la malooser ndo alichukua kiatu cha gori bora aka shirikisho
 
Na si ndo hayo mabao aliifunga team 1, nyumban na ugenini ktk hatua ya awali??
Kuna kitimu aina kama ya Zalan walikiokota walikipiga goli 7

Hapo ndio Ngassa akajiokotea hattrick

Na mechi ya marudiano nayo walishinda 5-2 Ngassa akapiga tena hattrick

Baada ya hapo wakakutana na Al Ahly ndio biashara ikaishia hapo
 
Mkuu hiyo ni kawaida kwetu ,usihangaishwe mikolo
Kwanza sio mara ya kwanza kutoa mfungaji bora
Mrisho Ngasa alichukua golden boot caf champions league
Sasa hv ni King Mayele kwenye confederation
Wanachukua kwa uwezo sio ndondokela ya kupigiwa kura kama yule wa ukoloni
Punguza ujinga golden boot upewe Kwa kuifunga team ya shelisheli google hata ukiougukiwa na akili
 
Sema kombe la malooser ndo alichukua kiatu cha gori bora aka shirikisho
Huna unalolijua, ubishi tu, Sako alichukua goli bora Kwa mashindano yote yaliyopo Chini ya CAF Yan CAF champions League, CAF confederation na Afcon. Hivyo Sacko alikutanishwa na wachezaji kama Mo Salah, sadio mane, Vicent aboubakar na goli la Sacko likawa Bora zaidi
 
Punguza ujinga golden boot upewe Kwa kuifunga team ya shelisheli google hata ukiougukiwa na akili
Screenshot_20230602-165456.png
 
Kuna kitimu aina kama ya Zalan walikiokota walikipiga goli 7

Hapo ndio Ngassa akajiokotea hattrick

Na mechi ya marudiano nayo walishinda 5-2 Ngassa akapiga tena hattrick

Baada ya hapo wakakutana na Al Ahly ndio biashara ikaishia hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliii
 
Fiston kalala Mayele wanayanga hatuna tunachomdai.

Laiti Kama Mayele angekuwa ukoloni saivi wangemjengea sanamu pale Msimbazi Kama Pape Osumane Sakho na kigoli chake Cha kubahatisha ulikuwa ni wimbo wa taifa mithiri ya mgumba aliyepata ujauzito mate njia njia.

Mfungaji Bora Nbcpl(Mayele)

Mfungaji Bora shirikisho CAF. (Mayele)
View attachment 2640722
Goli la Mayele dhidi ya waarabu juzikati kwa Mkapa ni goli Bora la mashindano ya Shirikisho, ni goli la kideo maana mpira ulihusisha wachezaji watatu wa Yanga bila kugusa ardhi! Tangu uwanja wa Mkapa kufunguliwa hakujawahi kufungwa goli zuri namna Ile na sidhani kuna mchezaji atafunga kama vile labda Mayele mwenyewe avunje rekodi yake!

Mayele Goal Scoring Machine (GSM) ni fundi mno wa boli , jamaa ni katili sana na hana huruma na mpinzani . Huyu jamaa utopolo tunajua ni adui mkubwa huko Kolokoloni, mbumbumbu fc wanamchukia mno, Mayele amezidi sifa za kufunga timu yoyote hata waje sijui Brazil, Mkunazini fc, JKU, Bayern Munich, Spain, Morocco, Begium, Man City, Abajalo, Faru Dume, Pan African, Lipuli, Ihefu au Azam wote anawapiga tu!
 
Alitwaa au walitwaa?

Ndio unavyo jidanganya?
What is your point ?
Maana hapo pameandikwa Golden boot caf champions league
Hicho kiatu Cha dhahabu hua anapewa nani kwenye mashindano ya mpira?
 
What is your point ?
Maana hapo pameandikwa Golden boot caf champions league
Hicho kiatu Cha dhahabu hua anapewa nani kwenye mashindano ya mpira?
Alikuwa ana goli ngapi?
 
Fiston kalala Mayele wanayanga hatuna tunachomdai.

Laiti Kama Mayele angekuwa ukoloni saivi wangemjengea sanamu pale Msimbazi Kama Pape Osumane Sakho na kigoli chake Cha kubahatisha ulikuwa ni wimbo wa taifa mithiri ya mgumba aliyepata ujauzito mate njia njia.

Mfungaji Bora Nbcpl(Mayele)

Mfungaji Bora shirikisho CAF. (Mayele)
View attachment 2640722
Makolo ni nani
 
Back
Top Bottom