Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
We unakubali kitu gani hapo kama umeelewa naomba unijuzeOoooh kumbeeee bas sawaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unakubali kitu gani hapo kama umeelewa naomba unijuzeOoooh kumbeeee bas sawaa.
Hata picha enyewee sijaonaa, mie nimeandikaa tyuuh.We unakubali kitu gani hapo kama umeelewa naomba unijuze
Huo mwaka kulikuwa na watu zaidi ya watatu ambao wamefunga mabao sawa.Hata picha enyewee sijaonaa, mie nimeandikaa tyuuh.
Na si ndo hayo mabao aliifunga team 1, nyumban na ugenini ktk hatua ya awali??Huo mwaka kulikuwa na watu zaidi ya watatu ambao wamefunga mabao sawa.
Na huyo Ngassa alikuwa akitajwa anawekwa wa mwisho kwasababu alizidiwa vitu vingi kama assist na kuhusika kwenye mabao mengi.
Kwa hiyo kuja kusema Ngassa alikuwa top score ni maana unawapunguzia magoli wale wachezaji wengine waonekane walikuwa chini yake.
Sema kombe la malooser ndo alichukua kiatu cha gori bora aka shirikishoKwani Mayele anachezea Simba tumpaishe humu? Iyo si kazi yenu wanautopolo ila kama umeumia hivi kwa kijana mdogo kama sakho kuchukua kiatu kwa goli la hatua ya makundi
Kuna kitimu aina kama ya Zalan walikiokota walikipiga goli 7Na si ndo hayo mabao aliifunga team 1, nyumban na ugenini ktk hatua ya awali??
Andika vizuri au ni huo mwiko huko nyumaSema kombe la malooser ndo alichukua kiatu cha gori bora aka shirikisho
Punguza ujinga golden boot upewe Kwa kuifunga team ya shelisheli google hata ukiougukiwa na akiliMkuu hiyo ni kawaida kwetu ,usihangaishwe mikolo
Kwanza sio mara ya kwanza kutoa mfungaji bora
Mrisho Ngasa alichukua golden boot caf champions league
Sasa hv ni King Mayele kwenye confederation
Wanachukua kwa uwezo sio ndondokela ya kupigiwa kura kama yule wa ukoloni
Huna unalolijua, ubishi tu, Sako alichukua goli bora Kwa mashindano yote yaliyopo Chini ya CAF Yan CAF champions League, CAF confederation na Afcon. Hivyo Sacko alikutanishwa na wachezaji kama Mo Salah, sadio mane, Vicent aboubakar na goli la Sacko likawa Bora zaidiSema kombe la malooser ndo alichukua kiatu cha gori bora aka shirikisho
Punguza ujinga golden boot upewe Kwa kuifunga team ya shelisheli google hata ukiougukiwa na akili
Habari za mrisho Ngasa kutwaa ufungaji bora caf champions league 2013-2014Ebu nielekeze hii screenshot inaelezea kitu gani?
Alitwaa au walitwaa?Habari za mrisho Ngasa kutwaa ufungaji bora caf champions league 2013-2014
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliiiKuna kitimu aina kama ya Zalan walikiokota walikipiga goli 7
Hapo ndio Ngassa akajiokotea hattrick
Na mechi ya marudiano nayo walishinda 5-2 Ngassa akapiga tena hattrick
Baada ya hapo wakakutana na Al Ahly ndio biashara ikaishia hapo
Goli la Mayele dhidi ya waarabu juzikati kwa Mkapa ni goli Bora la mashindano ya Shirikisho, ni goli la kideo maana mpira ulihusisha wachezaji watatu wa Yanga bila kugusa ardhi! Tangu uwanja wa Mkapa kufunguliwa hakujawahi kufungwa goli zuri namna Ile na sidhani kuna mchezaji atafunga kama vile labda Mayele mwenyewe avunje rekodi yake!Fiston kalala Mayele wanayanga hatuna tunachomdai.
Laiti Kama Mayele angekuwa ukoloni saivi wangemjengea sanamu pale Msimbazi Kama Pape Osumane Sakho na kigoli chake Cha kubahatisha ulikuwa ni wimbo wa taifa mithiri ya mgumba aliyepata ujauzito mate njia njia.
Mfungaji Bora Nbcpl(Mayele)
Mfungaji Bora shirikisho CAF. (Mayele)
View attachment 2640722
What is your point ?Alitwaa au walitwaa?
Ndio unavyo jidanganya?
Alikuwa ana goli ngapi?What is your point ?
Maana hapo pameandikwa Golden boot caf champions league
Hicho kiatu Cha dhahabu hua anapewa nani kwenye mashindano ya mpira?
Alikua na goli 0 mkuuAlikuwa ana goli ngapi?
Atakuchosha akili huyo...Alikua na goli 0 mkuu
Makolo ni naniFiston kalala Mayele wanayanga hatuna tunachomdai.
Laiti Kama Mayele angekuwa ukoloni saivi wangemjengea sanamu pale Msimbazi Kama Pape Osumane Sakho na kigoli chake Cha kubahatisha ulikuwa ni wimbo wa taifa mithiri ya mgumba aliyepata ujauzito mate njia njia.
Mfungaji Bora Nbcpl(Mayele)
Mfungaji Bora shirikisho CAF. (Mayele)
View attachment 2640722