Sakho alichukua tuzo ya goli Bora, zilipigwa kelele nyingi lakini Mayele kafanya kufuru Makolo wanazipita habari zake Kama wanaaga maiti

Sakho alichukua tuzo ya goli Bora, zilipigwa kelele nyingi lakini Mayele kafanya kufuru Makolo wanazipita habari zake Kama wanaaga maiti

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Fiston kalala Mayele wanayanga hatuna tunachomdai.

Laiti Kama Mayele angekuwa ukoloni saivi wangemjengea sanamu pale Msimbazi Kama Pape Osumane Sakho na kigoli chake Cha kubahatisha ulikuwa ni wimbo wa taifa mithiri ya mgumba aliyepata ujauzito mate njia njia.

Mfungaji Bora Nbcpl(Mayele)

Mfungaji Bora shirikisho CAF. (Mayele)
Screenshot_20230424-230122.jpg
 
Sasa watu wanajua wamekutana na timu hazina quality lazima waone aibu kumpaisha mfungaji wao. Pia hilo jambo wana simba haliwahusu walimpaisha Sakho sababu ni mchezaji wao sasa Mayele wanasimba anawahusu nini?
 
Fiston kalala Mayele wanayanga hatuna tunachomdai.

Laiti Kama Mayele angekuwa ukoloni saivi wangemjengea sanamu pale msimbazi Kama Pape osumane sakho na kigoli chake Cha kubahatisha ulikuwa ni wimbo wa taifa mithiri ya mgumba aliyepata ujauzito mate njia njia.

Mfungaji Bora Nbcpl(mayele)
Mfungaji Bora shirikisho CAF. (Mayele)View attachment 2640722
Mfungaji bora wa confederation ni sawa na mfungaji bora wa champions league? Kama ni sawa basi ushindi wa Sakho waweza kulinganishwa na wa Mayele. Ila swali hili tulitafakari tulipe jibu. Je mfungaji bora TZ kwenye NBC Premier akiwa na goli 20 atakuwa chini ya mfungani bora wa championship mwenye goli 25? Kama sio basi Mayele apewe sehemu yake kwenye ushindi asikwezwe zaidi
 
Mkuu hiyo ni kawaida kwetu ,usihangaishwe mikolo
Kwanza sio mara ya kwanza kutoa mfungaji bora
Mrisho Ngasa alichukua golden boot caf champions league
Sasa hv ni King Mayele kwenye confederation
Wanachukua kwa uwezo sio ndondokela ya kupigiwa kura kama yule wa ukoloni
 
[emoji16]
 
Fiston kalala Mayele wanayanga hatuna tunachomdai.

Laiti Kama Mayele angekuwa ukoloni saivi wangemjengea sanamu pale Msimbazi Kama Pape Osumane Sakho na kigoli chake Cha kubahatisha ulikuwa ni wimbo wa taifa mithiri ya mgumba aliyepata ujauzito mate njia njia.

Mfungaji Bora Nbcpl(Mayele)

Mfungaji Bora shirikisho CAF. (Mayele)
View attachment 2640722
Kwani huyo mayele amepata nini
 
Kawahi kufika robo fainal caf klabu bingwa samahani lknوينينيميطمطممييكطمطىىىييمىظ
 
Back
Top Bottom