Sakho alirogwa hapa kati, akarudi kwao kukarabatiwa na wazee

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Hii tetesi kwangu naikubali asilimia 100, hapa kati jamaa aligeuka kero anafanya vitu hadi unajiuliza jamaa vipi tena, amekuwaje?

Basi kila la heri POS maana kesharejea jana, I hope wazee wa Senegal wako vizuri na kama aliyemchezea uchawi yuko hapo klabuni basi akipewa namba afanye la maana siyo kurukaruka kama yuko nje ya club basi sawa kila la kheri.

*Wengi wanahisi ni Sakho kila nikijaribu kufikiria wa utopolo akili haiji haraka labda Aucho, ingawa I don't think so. All in all ukweli unabaki kwamba hizi teams kuna wachezaji huwa wanakuja kumalizwa kabisa Tanzania, watu wakipata hata nguo yenye jasho lako umekwisha.

Nakumbuka nilisikia kisa cha Balinya kumkaba Ngasa na kumchapa vibao kadhaa kwa uchungu huku akilia na kumuuliza kwa nini unaniafanyia hivi ndugu yangu? Balinya alipopotelea leo hakujulikani kabisa.

Shikhalo yeye kila siku ilikuwa kulia na Metacha Mnata hadi Mwenyekiti Msolla akasema waziwazi kwamba mnata ni jau hapo ndipo ubishi wa Jemedari Said na Yanga ulipoanzia kwamba meneja kijana wako anatuhumiwa kuwa wizard huku.
SAKHO.JPG
 
Kama ushirikina ni dili sumbawanga fc ichukue word cup basi
uchawi wa ki afrika ni wa kuharibu siyo kufanikisha, sarpong kuna wazee walimfata kabisa wakamuambia wewe umechezewa tutafutie hata laki tatu tukurekebishie akawapuuza, yaani bora hata angerudi kwao ghana kurekebisha mambo kaondoka kwa aibu sasa
 
Yanga ipi mnayosema?yanga hii hii ya akina mzee mpili?

Magwiji wa uchawi nchi hii,mnaoongoza kwa kuumiza wachezaji?

Kuna mchezaji gani alitoka utopolo kuja Simba akabaki na kiwango chake kama sio ugagula mnaomfanyia huko kinye fc?
 
Sema ukweli tu,Yanga anaifanyia simba ulozi sana usizunguke
 
Hii tetesi kwangu naikubali asilimia 100, hapa kati jamaa aligeuka kero anafanya vitu hadi unajiuliza jamaa vipi tena, amekuwaje?

Basi kila la heri POS maana kesharejea jana, I hope wazee wa Senegal wako vizuri na kama aliyemchezea uchawi yuko hapo klabuni basi akipewa namba afanye la maana siyo kurukaruka kama yuko nje ya club basi sawa kila la kheri.

*Wengi wanahisi ni Sakho kila nikijaribu kufikiria wa utopolo akili haiji haraka labda Aucho, ingawa I don't think so. All in all ukweli unabaki kwamba hizi teams kuna wachezaji huwa wanakuja kumalizwa kabisa Tanzania, watu wakipata hata nguo yenye jasho lako umekwisha.

Nakumbuka nilisikia kisa cha Balinya kumkaba Ngasa na kumchapa vibao kadhaa kwa uchungu huku akilia na kumuuliza kwa nini unaniafanyia hivi ndugu yangu? Balinya alipopotelea leo hakujulikani kabisa.

Shikhalo yeye kila siku ilikuwa kulia na Metacha Mnata hadi Mwenyekiti Msolla akasema waziwazi kwamba mnata ni jau hapo ndipo ubishi wa Jemedari Said na Yanga ulipoanzia kwamba meneja kijana wako anatuhumiwa kuwa wizard huku.
View attachment 2372154
Ukiwa bongo football Its Typical wizard scene aisee.. sikia tu kwa jirani
 
Mbona la diara hamsemi baada ya kushauriwa Na kisubi???
 
Back
Top Bottom