Sakho alirogwa hapa kati, akarudi kwao kukarabatiwa na wazee

Sakho alirogwa hapa kati, akarudi kwao kukarabatiwa na wazee

uko sahihi sijawahi kusikia haya mambo yakitokea yanga, yanga huwa ni sala na kumtukuza mungu
Kule utopoloni mambo ni mengi zaidi ya hayo unayoyasikia kwingineko

Ntibanzokiza na Ambundo walikataa kulazwa makaburini kule mwanza katika maandalizi ya mechi ya derby simba vs Yanga .

Sasa sijui unaizungumzia Yanga ipi?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Wazee wa yanga toka walivyomroga prince dube mpk leo jamaa haeleweki anacheza nini uwanjani.!!

Uchawi upo ndugu zangu!! Kwenye kila sehemu ya upatikanaji wa rizki uchawi haukosekani.

Ili kujikinga inatakiwa uchague upande, uwe upande wa Mungu (jumla jumla bila ya kufanya ushirikina ) ili uondoshe uchawi kwa kutumia Dua/maombi au uamue uwe mshirikina mazima ili uondoshe uchawi kwa kutumia uchawi
 
Acha kupotosha. Kushuka kiwango kwa mchezaji ni suala la kawaida sana Wala halihusiani na ulozi hata kidogo. Hebu tumia kichwa chako vizuri sio kukitumia kama mfuniko wa mwili
Swali nimekuuliza simba kudaiwa bill ya maji au wewe ni taahira?
 
Watu wenye mtindio wa ubongo ndio huwaza kama wewe, mpira ni sayansi we kichwa maji. Mambo ya bill ya maji yanahusiana vipi na mada yako?
MKUU LEO HAUNA ZA NDANINDANI ZA MAKOLO?naiskia inonga mshahara na pesa za usajili?kagomaaaa...uongozi wa makolo mbovu kinoomanooma yaani
 
ya kawaida hayo dada yangu yashamkuta chama, wakasingizia mkude kamuunganishia wema sepetu penzi linamuharibu, kiwango chake kiliporomoka mno akaenda kwao zambia kujiweka sawa
yalimkuta bwalya kipindi watu wanalalamika hawamuelewi akaenda kwao zambia week 2, ya kawaida sana cha muhimu tuombee kwamba wazee wa kisenegali wametoa hayo mauchafu mwilini mwake na kwenye macho yake maana kwenye mechi mpira anauona kama kitenesi si uliona mechi ya nyasa bullets alivyopaisha pasi ya mzungu eneola wazi kabisa
 
Sawa kaka yangu haya mambo yapo hatupingi
 
Back
Top Bottom