Sakho anajipendekeza kwa Sadio Mane

Sakho anajipendekeza kwa Sadio Mane

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,215
Reaction score
3,035
Sakho uko kambini na timu ya taifa kila muda ni kumfuata Sadio Mane, nimeona video yake akicheza ili aonekane kwa Mane.

Acheze mpira aache shobo, na nyie mashabiki wa Simba mnafurahia tu mchezaji wenu wanamfanya Kama dancer hivi kisa amepostiwa na Sadio Mane.

Sakho ni chawa wa Sadio Mane
 
Braza kama hujui lolote kuhusu mpira au chochote funga domo lako na litunze sana bichwa lako vzr japo halina kitu hutaonekana mjinga.

Nakupa elimu ukiitwa kwa mara ya kwanza team ya senegal kuna kautamaduni ka kujuana na wenzako nakuwaonesha talent yako yyte nje ya ya mpira. Nawasilisha kwako
 
Ni roho za ajabu wamejaaliwa tu baadh yetu loooh
 
Back
Top Bottom