Sakho anajipendekeza kwa Sadio Mane

Sakho anajipendekeza kwa Sadio Mane

Sakho uko kambini na timu ya taifa kila muda ni kumfuata Sadio Mane, nimeona video yake akicheza ili aonekane kwa Mane.

Acheze mpira aache shobo, na nyie mashabiki wa Simba mnafurahia tu mchezaji wenu wanamfanya Kama dancer hivi kisa amepostiwa na Sadio Mane.

Sakho ni chawa wa Sadio Mane
Punguza makasiriko
 
Chama wenu mnayemuona ni mungu wa Simba timu ya taifa ana namba
Kabisa tunachoshukuru ata benchi anakaa kuliko unaitwa na benchi hatukuoni team ni Zambia sio Senegal ,Nigeria au ivory coast 😄😄😄😄
 
Kijana nasikia ana uwasha ipasavyo mazoezini,, anagusa na kuachia..
FB_IMG_16796568632695397.jpg
View attachment 2563821
 
Sakho uko kambini na timu ya taifa kila muda ni kumfuata Sadio Mane, nimeona video yake akicheza ili aonekane kwa Mane.

Acheze mpira aache shobo, na nyie mashabiki wa Simba mnafurahia tu mchezaji wenu wanamfanya Kama dancer hivi kisa amepostiwa na Sadio Mane.

Sakho ni chawa wa Sadio Mane
Anachofanya ni muhimu sana,anatazamia kusonga mbele,ulitaka amgande mayele?
Anatumia vizuri chance,mtie moyo badala ya kumponda,keep it up sakho
 
Back
Top Bottom