Sakho anajipendekeza kwa Sadio Mane

Kapewa bonge la promo nwakani hatunaye ,atakiwasha ulaya
 
Acha wivu mtoto wa kiume utapakatwa 😑😑😑 kacheze wewe na kabili
 

Inakuuma!
 
Imagine hata ungekua wewe unacheza timu yako ya taifa ni mtu kama sadio mane.
 
Una mtazamo wa kikahaba wewe.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
We kenge wivu mbaya sana
 
Umekula?
 
Ko hapo ni sakho ndo kajipendekeza au mane aliempost??halafu mbona wamecheza wachezaji watatu kama ishara ya kukaribishwa kwenye nationa team,nyie mmemuona sakho tu?,acheni ushamba
 
Tuwekeeni hiyo clip inayo inayowatoa roho wafuasi wa Zumaridi tuione!!
 
Hawezi kukaa hata bench, ameitwa kukamilisha idadi tu
Kama Musonda wa Young hata benchi la Zambia haonekani na hiyo ni Zambia sio Senegal 😁😁😁😁😁😁
 
Kama Musonda wa Young hata benchi la Zambia haonekani na hiyo ni Zambia sio Senegal 😁😁😁😁😁😁
Chama wenu mnayemuona ni mungu wa Simba timu ya taifa ana namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…