Sakho na Phiri waomba kuondoka Simba

Sakho na Phiri waomba kuondoka Simba

Acha uoga we kolo😂😂😂
Uoga muhimu, usijitie makame nguvu kwa vya watu.
Kolo=mjomba
Mjomba=
Asipokuelewa na hapa kesho mshikie bango juu juu kisha umtangaze Dar yooote asubuhi hadi jioni kuwa umemzimia yeye pekee Atoto Malkia wa nguvu ...[emoji142]
Imeisha hiyo bwana mshenga. 😂
 
Nimekufanyaje, we si ndio kila siku unasema unataka tuwe pamoja, tuwe tunasonga nguna we ukiwa umevaa jezi ya utopolo na kichupi, mie nikiwa nimevaa jezi ya FISTON mayele, kumbe mzee mwenzangu ni Mali ya mtu,
Hunitakii mema unataka watu wanikate hiki kikojolea changu, hata kale kaburudani ka kupiga kimoja cha jogoo nikose, kweli mzee mwenzangu, nimekukosea nini mimi 😭
Acha kudanganywa mzee mwenzangu.
 
Shida kuacha nako ngumu maaana ushabiki upo damuni.. 😆 😆 😆
Usiache bhn,atleast wewe na jamaa yangu Scars ndio mashabiki wa makolo ambao ni reasonable na wastaarabu, na mna sense ile ya utani wa jadi na sio upumbavu kama wale jamaa tunaotukanana nao daily mpk aibu tunaona sisi
 
Ukipendwa pendeka bwana😂😂😂
We usinichote akili, kuanzia leo mimi nawe tofauti, kaa mbali mita 1786.

Thibitisha mbele ya ERoni vinginevyo nitachukulia madai yake kuwa ni kweli, kwanini ushindwe Thibitisha sasa.
 
We usinichote akili, kuanzia leo mimi nawe tofauti, kaa mbali mita 1786.

Thibitisha mbele ya ERoni vinginevyo nitachukulia madai yake kuwa ni kweli, kwanini ushindwe Thibitisha sasa.
Weeeeh!! We wa kunifanyia hivi kweli😭😭😭😭
 
Phiri kwa kweli hapana kocha sijui ana shida nae gani.
Wanatuzingua tu kenge wale, mpira si michezo wa chumbani, wote umeona uwezo wa phiri, Kisha leo phiri a kakae bench kindezi tu, mpaka John boko anacheza phiri kasahaulika si mambo ya kisenge haya 😂🤣
 
Wanatuzingua tu kenge wale, mpira si michezo wa chumbani, wote umeona uwezo wa phiri, Kisha leo phiri a kakae bench kindezi tu, mpaka John boko anacheza phiri kasahaulika si mambo ya kisenge haya 😂🤣
Kocha alisema anafurahishwa na kibu na boko hapo ndipo nilichoka.

Ila kwa kiasi Kibu kaimprove hata finish now habutui tu ili mradi mpira uelekee golini kama zamani.

Phiri akiondoka ataniuma sana hata sakho naona bado uwezo anao kwa mida mchache anacheza na still anafunga. Mapaka kuitwa national team kama senegal ni kitu anacho. Hata kama hakucheza game yeyote.
 
Back
Top Bottom